Tuache ushabiki kwenye masuala ya msingi. Nape kamuua nani?Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tu.
In fact,bora tu tusikie tanzia kuliko kusikia ana lalamika
kutaka kuuliwa.
Watu mna roho mbaya!mbona wameuwawa watu kibao huko Nyamongo Nape hajasikika
Lowassa akishika nchi kwa bahati mbaya 2015 namshauri amchune NAPE ngozi hadharani
Jeshi la polisi lazima hii itawastua maana inahusisha maisha ya MwanaCCM, hivi polisi wamehusika vipi na kifo cha wakala wa CHADEMA pale igunga?Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.
Tuache ushabiki kwenye masuala ya msingi. Nape kamuua nani?
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tu.
In fact,bora tu tusikie tanzia kuliko kusikia ana lalamika
kutaka kuuliwa.
Anapotetea chama la miposho hajui hiyo pesa ingeokoa maelfu ya wajawazito???Kwan hata wewe JK amekukosea nini????????Tuache ushabiki kwenye masuala ya msingi. Nape kamuua nani?
mbona wameuwawa watu kibao huko Nyamongo Nape hajasikika
Lowassa akishika nchi kwa bahati mbaya 2015 namshauri amchune NAPE ngozi hadharani
Tuache utani kama amehusika kwa nini asichukuliwe hatua za kisheria na tunamuona kipanda majukwaani?Yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mauaji (CCM).
Alipita Igunga akatoa kazi watu wauliwe,na wamekufa watu kibao.
Leo hii analia kutaka kuuliwa,so what?
yeye ana roho nzuri??Watu mna roho mbaya!
Anapotetea chama la miposho hajui hiyo pesa ingeokoa maelfu ya wajawazito???Kwan hata wewe JK amekukosea nini????????
MBONA UNAMTETEA KWA UPUUZI?? ni mmeo huyo??Tuache utani kama amehusika kwa nini asichukuliwe hatua za kisheria na tunamuona kipanda majukwaani?
Lowassa yupi_yule ninayemfahamu mimi asahau urais,..hata kama huyo Tb Joshua kamdanganya atapata.miambona wameuwawa watu kibao huko Nyamongo Nape hajasikika
Lowassa akishika nchi kwa bahati mbaya 2015 namshauri amchune NAPE ngozi hadharani
Kuna mwanaume katokea arabuni anatafuta watu kama wewe akawape kazi kamwone pale DANFRANCE HOTEL malipo 80 elfu kwa saaJahazi Modern Taarab inatafuta mwimbaji wa mipasho. Kawaone pale Travertine leo mchana!
Hapa sitetei chama ninazungumzia hali halisi iliyopo usiwe na fikra mbovu kiasi hicho.Anapotetea chama la miposho hajui hiyo pesa ingeokoa maelfu ya wajawazito???Kwan hata wewe JK amekukosea nini????????
MBONA UNAMTETEA KWA UPUUZI?? ni mmeo huyo??