Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Na ni biashara pekee ambayo unaweza ku-incure loss kwa % 100, muda wowote maana ni kama lamli kutokana na production factors ambazo saa ingine zinakuwa beyond of the producer control.

1.ukame
2.mafuriko
3.seedborn disease
4.soil born disease
5.soko
 
Wewe unalimia wapi ndugu?
Kama kweli unalima (mahindi), wala usingeuliza hilo swali. Mwaka huu bei itafika au kukaribia elf1300-1500 kwa kilo, mark this thread then njoo uniulize January 2018.
unalimia mkoa gani mkubwa naachana na mpunga naingia kwenye mahindi msimu huu unaokuja nijibu hata kwa pm
 
Na ni biashara pekee ambayo unaweza ku-incure loss kwa % 100, muda wowote maana ni kama lamli kutokana na production factors ambazo saa ingine zinakuwa beyond of the producer control.

1.ukame
2.mafuriko
3.seedborn disease
4.soil born disease
5.soko
Hebu tuambie biashara ambayo uwezekano wa faida mara zote ni 100%, nasubiri jibu!
 
Uko sahihi kabisa kwamba hakuna biashara yenye faida kwa %100, automatically hasara zipo pia kila aina ya biashara.

Swali langu, kilichomuzuia mleta uzi kutuwekea vikwazo/changamoto tutakazokumbana nazo ni kipi ilihali kabisa kukutana na hasara kunawezekana?!?!

Ukifatilia vizuri conversation unaweza kuelewa kinachoongelewa ni kipi!

Kuna kilimo cha uhakika wa kuvuna na kupata faida lakini with high cost of investment(green house).

Kilimo cha ramli ambacho kinategemea uwezeshaji wa mwenyezi MUNGU kina matokeo mawili, faida sana au hasara sana maana kuna p/factors zitakuwa nje ya uwezo wa mkulima.

Sasa kilichoongelewa na mleta uzi ambacho nimejaribu kukinzana nacho ni ule ushawishi wa watu waingie shambani bila kufanya uchunguzi wa vikwazo watakavyo kutana navyo huko shambani kulingana na uhalisia wa kazi yenyewe.
 
Kama unaongelea nyanya za kwenye green hous sawa, mimi silimi bustani mkuu nalima shamba. Huku nilipo mvua siyo tatizo, zinanyesha timely bila shida kabisa, na ardhi bado ina rutba. Na mimi nilikuwa mwoga hvohvo, nakushauri utembelee maporini, sisi wa vijieka hamsini mia ni watoto tu, kuna Mzimbabwe huku analima maelf ya maekari kwa kutegemea mvua hiihii.
 
Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.

Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.

Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.

Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
utakuwa unaongelea ajira za serikalini,wapo watu wanakamata mpaka mil 20 kwa mwezi we unaongealea mil 3 kwa miezi 3 ambapo ni wastani wa kama laki 7 na nusu tu,umewahi kumuona mkulima gani anaendesha range rover vogue?njoo mjini huku utazikuta kama nyjugu,kilimo ukitaka labda uwe dalali lakini ukishika jembe we ni masikini tu,ulishaambiwa kilimo ni uti wa mgongo na si vinginevyo
 
Kama unaongelea nyanya za kwenye green hous sawa, mimi silimi bustani mkuu nalima shamba. Huku nilipo mvua siyo tatizo, zinanyesha timely bila shida kabisa, na ardhi bado ina rutba. Na mimi nilikuwa mwoga hvohvo, nakushauri utembelee maporini, sisi wa vijieka hamsini mia ni watoto tu, kuna Mzimbabwe huku analima maelf ya maekari kwa kutegemea mvua hiihii.
Hiyo green house ni moja ya mfano tu upande wa horticultural crops, lakini kwa upande wa field crops kwa mkulima alieoko karibu na chanzo cha maji anaweza kutumia drip irrigation ikamsaidia kwa ku-run faida atakuwa amemzidi anaelima ekari 100 kwa kutegemea mvua. kama atafanya drip irrigation kwa ekari 10 atamzunguka mara mbili huyu anaebahatisha.

Hongera kwa kuingia shamba mkuu na kama eneo lako halina vikwazo vingi ni kheri.

Sikuwa na lengo la kukatisha watu tamaa bali kuwaambia ukweli wa mambo ulivo.
 
Naona wewe huelewi mwenzako anajaribu kukwambia nini na kaa ukijua kuwa mkulima mwenye vifaa vyake na analima mashamba makubwa kamwe huwezi kumlinganisha na mkulima anaelima vijishamba vidogo na kuweka hiyo miundo mbinu unayoisemea em tembea ujionee bro
 
Naona una ubishi wa asili, rejea uzi unaeleza nini halafu urudi kusema iki unachokisema.

Pili mimi nimemshauri kulingana na uzi, pia ukifatilia maelezo yangu nimeshasema kilimo ni high cost investment na sidhani kama unachokisema unataarifa kuwa nakijua na ndo kinachofanyika huku niliko kwa hiyo nakutana na wakulima wa size zote.
 
Naona wewe huelewi mwenzako anajaribu kukwambia nini na kaa ukijua kuwa mkulima mwenye vifaa vyake na analima mashamba makubwa kamwe huwezi kumlinganisha na mkulima anaelima vijishamba vidogo na kuweka hiyo miundo mbinu unayoisemea em tembea ujionee bro
Halafu naomba uwe na kumbukumbu mkuu, kwa maelezo ya mleta uzi production cost ilikuwa 500k/2 acres. Kutokea hapa akatushawishi tuingie kwenye kilimo kumbuka huyu mtu kapata faida kwa bahati nasibu kama angekutana na vikwazo angekuwa anaongea mengine.

Sasa hizo ekari 1000 mnazozisema zidisha na 250000/= kwa mjibu wa gharama za mleta uzi utapata 250M, huyu siyo mkulima wa kawada aliekuwa anashauriwa na mleta mada na ukiwatafuta nchi hii hawafiki 100.
 
Hiyo green house ni moja ya mfano tu upande wa horticultural crops, lakini kwa upande wa field crops kwa mkulima alieoko karibu na chanzo cha maji anaweza kutumia drip irrigation ikamsaidia kwa ku-run faida atakuwa amemzidi anaelima ekari 100 kwa kutegemea mvua. kama atafanya drip irrigation kwa ekari 10 atamzunguka mara mbili huyu anaebahatisha.

Hongera kwa kuingia shamba mkuu na kama eneo lako halina vikwazo vingi ni kheri.

Sikuwa na lengo la kukatisha watu tamaa bali kuwaambia ukweli wa mambo ulivo.

Kawaida Mkuu, challenge kwenye kilimo ziko nyingi, zikiwemo za kukutana na "wataalam" mbalimbali wanaokupa mawazo tofautitofauti yanayochanganya, ukiwafuata sana unaweza kukata tamaa, kumbe wengine utaalam wao ni wa nyuma ya keyboard tu hawajawahi kulima hata tuta la mchicha. Mimi nalima mahindi mkuu, na hakuna mtu anayeweza kunishawishi nilime mahindi yangu ndani ya green house, nia yangu ni kukua niweze kulima thousands of acres, sijawahi kuona mashamba makubwa ya mahindi yanalimwa ndani ya green house, wazalishaji wakubwa wanafanya open field!
 
Green house nimeituma kama mfano upande wa horticultural crops ambayo pia ni mazao yanayolimwa sana na wakulima kwa njia mbili, ile ya wazi na ya kutumia green house ila kama umeubeba mfano kwa mazao yote basi hiyo ni juu yako kulingana na hisia zako.

Lakini kwenye field crops kuna alternative nyingine ya drip irrigation ili kujihakikishia usalama wa pesa unayoiwekeza kama ni nyingi kwa kutumia huu mlango hutaweza kuipoteza kirahisi.

Niseme tu kuwa agricultural consultation ni muhimu kama unafanya na watu wanaoifanyia kazi taaluma yao kwa vitendo, pia agricultural consultation huwa haitoki sehemu moja inaenda hadi kwa wakulima wanaozunguka shamba lako.

Nina wasiwasi utakuwa unafanya agricultural consultation kwa njia ya mtandao, kama ni ivo basi lazima ukutane na wakulima paamoja na wataalamu wanaolima kwa kutumia google.
 
Wala sijaja kufuata consultation humu, huku kwetu kuna watu wanaitwa "Bwana/Bibi Shamba". Wewe naona ndiyo unatoa online consultation ya kujitolea!
 
Green house nimeituma kama mfano upande wa horticultural crops ambayo pia ni mazao yanayolimwa sana na wakulima kwa njia mbili, ile ya wazi na ya kutumia green house ila kama umeubeba mfano kwa mazao yote basi hiyo ni juu yako kulingana na hisia zako.

Lakini kwenye field crops kuna alternative nyingine ya drip irrigation ili kujihakikishia usalama wa pesa unayoiwekeza kama ni nyingi kwa kutumia huu mlango hutaweza kuipoteza kirahisi.

Niseme tu kuwa agricultural consultation ni muhimu kama unafanya na watu wanaoifanyia kazi taaluma yao kwa vitendo, pia agricultural consultation huwa haitoki sehemu moja inaenda hadi kwa wakulima wanaozunguka shamba lako.

Nina wasiwasi utakuwa unafanya agricultural consultation kwa njia ya mtandao, kama ni ivo basi lazima ukutane na wakulima paamoja na wataalamu wanaolima kwa kutumia google.
Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tena
 
Zaman kilimo kilifanyika shamban, lakin siku hizi ni limia dole......wee nenda kichwa kichwa na mkopo wako au mtaji wako shamban bila kujua nn unaenda kulima na soko lake likoje, nakumbuka hadithi za tikiti maji kila sehemu ilikuwa tikiti maji tikiti maji..........watu wakalima kwa wingi adi kusababisha mafuriko ya matikiti maji kwenye masoko. .............

DAAAH MKUU WE ACHA TUU, NAKUMBUKA SIKU HIYO NIPO SOKONI NIMEWASINDIKIZA WANA WAMETOKA KUVUNA TIKITI ZAO YAANI WALIKODI TANDAM {FUSO DOUBLE DIFF} IKAJAA TIKITI, KUFIKA BUGURUNI TUKAWA PEKE YETU BASI MZIGO UKASHUSHWA FRESH TUU.. ILE KUAMKA ASUBUHI TUKAKUTA SEMI TRELA IKO NJE IMEJAA TIKITI.. TUMEKAA KIDOGO GHAFLA IKAINGIA CANTER.. TUNATOKA NJE TUNAKUTA KUNA FUSO IMEJAA TIKITI DAAAH YAANI NILIKUWA NAONA MDA HAUENDI IASEE..

N WAY.. Dhumuni sio kakatisha watu tamaa ila kuna kitu kinaitwa kuwa na taarifa kamili ya soko hasa kwa haya mazao ya mboga mboga na matunda yasiyoweza kukaa sana. kwa upande wa mahindi unaweza kaa nayo hata miaka na yasiharibike.. kwa hiyo vijana tulime lkn tuwe na taarifa kamili kuepuka hasara zisizo na kichwa ala miguu.......
 
Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tena
(Hahahaha daud bashite tena mkuu!!)

Kilimo cha umwagiliaji hakiko kama unavotaka wewe, lengo huwa ni kuhakikisha moisture content kwa ajili ya mazao husika na pale mvua inaponyesha wanasitisha kumwagilia inakuwa ni faida kwao.

Hao USA na URUSI sidhani wanalima kwa hisia kama sisi wale wamewekeza kwenye kilimo, ndo maana hata mifugo inaandaliwa chakula chao toka mashamba hayo ambayo hayasubiri mvua za msimu.

Wangelikuwa na kilimo cha hisia kama unavojua wewe ungesikia mifugo imekosa chakula na kufa kwa sababu ya mvua kupungu( kama sisi TZ tunavolia kutokana na ukame).

Sasa ivi maeneo mengi mvua inanyesha na mafuriko yanatokea lakini hayo maji hayakusanywi ili badae yatumike pale mvua inapokuwa hamna halafu unajilinganisha na hizo nchi zinazojua uthamani wa maji.

**endelea kuniita DAB lakini kuna siku unaweza elewa hiki nachosema ni nini.

NOTE. USA na URUSI wanategemea mvua ili kuvuna maji baadae wayatumie kwenye shughuli za kilimo pale mvua inapokuwa haikidhi mahitaji ya kilimo, sasa wewe endelea kujilinganisha nao wakati hata bwawa la kuchimba na tractor huna.

Wenzio hao wanakusanya maji wanayapigia hesabu kuwa wataweza kuzalisha kwa ukubwa gani kulingana na mahitaji ya mimea halafu unasema walima kwa kutegemea mvua kama wewe.

Ila isiwe kesi mkuu amini unachokiamini mimi ngoja niendelee kulima mahindi ya kuchoma.
 
Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tena
Umwagiliaji si lazima iwe drip kama ulikalilishwa, kuna furrow mkuu pia inatumika.

Najua historia ya kilimo na mafanikio yake kwa hizo nchi huijui ila ubishi tu umekujaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom