Kilimo na JATU: Je, kuna ukweli wowote?

Wakuu Wa Kilimo habari!

Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima kwa kuwaunganisha na kudanya kilimo kwa niaba yao. Yaani mkulima unatoa pesa 678,000 kwajili ya kilimo cha mahindi, wao watafanya kila kitu kuanzia kulima, kuhudumia mpaka kuvuna, na kukuwekea gharani, kwa eka moja mkulima anapewa magunia 30 ya mahindi hivyo hivyo kwenye mazao mengine kama maharage, mpungu na alizeti.

Maswali yangu.
1. Je, kuna mtu aliswhai kulima now? vile wanaahidi ni vya kweli??
2. Je, kuna harufu yeyote ya utapeli kwenye miradi yao hio?
3. Je, hakuna ubabaishaji wowote?
4. Je, wewe ulishawai kufanyanao biashara hio na ukapata kama wanavyoahidi?

Naombeni maoni yenu wadau, maana natamani nijilipue na eka 50 za mahindi huko kiteto

PONZI SCHEME naamini hawana tofauti na wale wa KUKU kule Kigamboni.
 
kulima utalima na kuvuna apart of all ya shambani utalipwa hela baada ya mavuno kwa zengwe sana na bei ya mazao ni tofauti na mtaani mf maharage kipindi yanafika hadi 2800-3000@kg wao ilikua 1850 -19000
 
Wakuu Wa Kilimo habari!

Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima kwa kuwaunganisha na kudanya kilimo kwa niaba yao. Yaani mkulima unatoa pesa 678,000 kwajili ya kilimo cha mahindi, wao watafanya kila kitu kuanzia kulima, kuhudumia mpaka kuvuna, na kukuwekea gharani, kwa eka moja mkulima anapewa magunia 30 ya mahindi hivyo hivyo kwenye mazao mengine kama maharage, mpungu na alizeti.

Maswali yangu.
1. Je, kuna mtu aliswhai kulima now? vile wanaahidi ni vya kweli??
2. Je, kuna harufu yeyote ya utapeli kwenye miradi yao hio?
3. Je, hakuna ubabaishaji wowote?
4. Je, wewe ulishawai kufanyanao biashara hio na ukapata kama wanavyoahidi?

Naombeni maoni yenu wadau, maana natamani nijilipue na eka 50 za mahindi huko kiteto

Za kuambiwa changanya na zako.....
Mimi hata kabla ya kuambiwa, akili yangu na jinsi ninavyokijua kilimo, nakuhakikishia tu kuwa hilo haliwezekani. Hata ulaya ambako bima za kilimo zipo effective, bado mkulima/mwekezaji hajawai hakikishiwa unono wa faida ya namna hiyo..
 
Cc. Mr Kuku
DECI
Q NET & Co.

Kuna kamsema maarufu humu; ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa

Tusubiri wanufaika waje waseme neno
Kitu cha msingi ni kujua anwani yao, kama wana tovuti pia ili kufanya nao mawasiliano ya moja kwa moja. Pia ekari moja ya mahindi kutoa magunia, lazima kiwe ni kilomo cha kisasa kinachojumisha na umwagiiaji si kutegemea mvua. Afalu wanatoa huduma kwa watu wa ukanda gani? Maana mtu anawezakuwa monduli au Longido anataka huduma kama hiyo , utaratibu utakuwaje? Pia katik hali ya sasa ni lazima kuwepo na mkataba kati ya mkulima na hiyo kampuni (mktaba wa kisheria ili Kampuni ikizengua iwe rahisi kwa mkulima kurejeshewa fedha zake)
 
Ndugu TAJIRI MSOMI huo ni utapeli, sikushauri hata kidogo. Ingia Shambani mwenyewe ukalime, kilimo cha simu ni utapeli mkubwa. Kama unayo hiyo hela fanya uwekezaji mwingine kama huna muda wa kulima au kuingia shambani ukasimamia kwa asilimia 100.
Na Kijani Kibichi ya Adam Rashid Ngemange, matapeli

Wakuu Wa Kilimo habari!

Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima kwa kuwaunganisha na kudanya kilimo kwa niaba yao. Yaani mkulima unatoa pesa 678,000 kwajili ya kilimo cha mahindi, wao watafanya kila kitu kuanzia kulima, kuhudumia mpaka kuvuna, na kukuwekea gharani, kwa eka moja mkulima anapewa magunia 30 ya mahindi hivyo hivyo kwenye mazao mengine kama maharage, mpungu na alizeti.

Maswali yangu.
1. Je, kuna mtu aliswhai kulima now? vile wanaahidi ni vya kweli??
2. Je, kuna harufu yeyote ya utapeli kwenye miradi yao hio?
3. Je, hakuna ubabaishaji wowote?
4. Je, wewe ulishawai kufanyanao biashara hio na ukapata kama wanavyoahidi?

Naombeni maoni yenu wadau, maana natamani nijilipue na eka 50 za mahindi huko kiteto
Mkuu naona JATU wameingiza hisa zao DSE so inawezekana wapo real in the business me nitajaribu kwa uchache coz it worth to try than not nime calculate risk naona Bora nikatest na amount ndogo
 
Attachments

  • 20201125_213554.jpg
    20201125_213554.jpg
    49.4 KB · Views: 22
Mkuu naona JATU wameingiza hisa zao DSE so inawezekana wapo real in the business me nitajaribu kwa uchache coz it worth to try than not nime calculate risk naona Bora nikatest na amount ndogo
DSE 🤣 :D huko wameenda kutafuta mtaji,

Wana hisa kwenye makampuni huko DSE mengine kama Precisionair, hizo share certificate ni bora kuzichambia, unaelekea mwaka wa 10, hakuna dividends hakuna hisa kuuzika.

Makampuni mengi hata faida hayajagawa huu mwaka wa 3, na hisa haziuziki.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
DSE 🤣 :D huko wameenda

Point taken,so inabid tuwapige mapema b4 hatujapigwa..😎
 
Nyie mlokuwa mnaandika mnavyowaza

Leo mna jipya , JATU Plc in DSE , here we go ..
Kuwa in DSE haimaanishi chochote zaidi kwenda kutafuta kukuza mitaji especially kwa bongo, na hapa wanapigwa wasio na experience na DSE. Kampuni inatakiwa ku perform FINANCIALLY. Kuna michezo yao huko kwenye stock exchange, wengine hatuijui. Lakini tulishang'atwa na nyoka, hata jani tunakimbia.

Kama NMB hisa haziuziki, SWISSPORT hawagawi dividends, PRECISIONAIR hawajawahi toa gawio wala hisa zake haziuziki. CRDB hisa mwaka wa 10 hazijawahi kupanda above Tshs300.

Niseme kila la heri kwa hao JATU PLC, na investors wao.

Back
Top Bottom