kilimo kwanza....natafuta mtaalamu wa k

kilimo kwanza....natafuta mtaalamu wa k

Mtalaam wa k??vipi eneo lina unyevu nyevu au ndo mpaka irrigation....
kama lina unyevu ni PM
 
mtaalamu wa kilimo!
natafuta mtaanajua hili jukwaa ni la magt
naombeni ushauri

Usiogope kuwekeza, kilimo cha maharage(gwe) kinalipa. Kiufupi maharage mekundu marefu yanalipa kuliko jamii ya soya(mafupi). Maharage marefu hayahitaji mvua nyingi yanaladha nzuri, wapenzi wengi hivyo, soko la uhakika. yakishwapandwa uhitaji wa maji ni kidogo japo unahitaji maandalizi ya kuyaloweka na kuhakikisha yamelowa vema kabla ya kupanda. Usiyavune kabla kukomaa kwake hakujafika mwisho. Mwisho ukifika mbegu zinakua na rangi kama samawati inayopendeza machoni, gamba linakua la kahawia. Unavunaji hauna sharti unaweka kukata kwa kuanzia upande wowote. Kilimo kama haupo shamba kinamaelezo mengi kuvuta picha ya matendo machache, nikitegemea unafahamu maandalizi ya shamba, matumizi ya mbolea ya asili na kisasa.
Salaam
 
mmh hhii wrong turn hii,ngoja ningeuuze tu nisije nikaliwa na mazombie!!!
 
Mtalaam wa k??vipi eneo lina unyevu nyevu au ndo mpaka irrigation....
kama lina unyevu ni PM

Utaalam wa k ni kufyeka nyasi za mbele yaani mbele ya shamba uweze kuingia vizuri. Ukilitayarisha vizuri likawa na unyevu ndipo unamwaga mbegu, hapo kazi inayobakia ni kinyoa sorry kutoa nyasi kabla ya kuvuna.
 
Humu kuna wa taalamu wa Kei hadi kabaang chaguo ni lako baby gyal,wah yuh whaan?
 
mtaalamu wa kilimo!
natafuta mtaanajua hili jukwaa ni la magt
naombeni ushauri
kwa wataalamu wa kilimo mitaa hii naitaji kuwekeza kwenye kilimo cha maharage naombeni kujua ni maharage gani yanastahimili ukame ? kwasasa ninategemea mvua sijawa na uwezo wa irrigation.
nataka kuanza na heka kumi sitaki kuchanganya kitu ...
naombeni ushauri nifanyeje nipate mavuno mazuri?

the same word can have alot of meanings. SMILE rafiki yangu umeniacha kwa hapa. Natamani nifahamishe basi.
 
mtaalamu wa kilimo!
natafuta mtaanajua hili jukwaa ni la magt
naombeni ushauri
kwa wataalamu wa kilimo mitaa hii naitaji kuwekeza kwenye kilimo cha maharage naombeni kujua ni maharage gani yanastahimili ukame ? kwasasa ninategemea mvua sijawa na uwezo wa irrigation.
nataka kuanza na heka kumi sitaki kuchanganya kitu ...
naombeni ushauri nifanyeje nipate mavuno mazuri?

the same word can have alot of meanings. SMILE rafiki yangu umeniacha kwa hapa. Njo chumbani nifafanulie basi.
 
mtoa mada you are so going to hell....hah hah hah hah
 
Back
Top Bottom