kilimo kwanza....natafuta mtaalamu wa k

kilimo kwanza....natafuta mtaalamu wa k

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
mtaalamu wa kilimo!
natafuta mtaanajua hili jukwaa ni la magt
naombeni ushauri
kwa wataalamu wa kilimo mitaa hii naitaji kuwekeza kwenye kilimo cha maharage naombeni kujua ni maharage gani yanastahimili ukame ? kwasasa ninategemea mvua sijawa na uwezo wa irrigation.
nataka kuanza na heka kumi sitaki kuchanganya kitu ...
naombeni ushauri nifanyeje nipate mavuno mazuri?
 
Jukwaa linaweza likawa lenyewe ....maana kuna swala la kulima maharage kwenye ukame hana uwezo wa umwagiliaji.....na hataki kuchanganya kitu...
nitafutie watu wa sokoine university pls
 
Hii Sma......inahitaji mbegu bora zenye uwezo wa IQ......cha kufanya.........kwa sababu unategemea mvua......jaribu kuwaona wataalamu wa palizi......vinginevyo.....mbegu zitadumaa......
 
wataalamu wa K wako wengi mbona humu JF,
ila inabidi umpate mtaalam mzuri wa kilimo cha maharage.....

you have to read btn the lines to understand this
 
Hii Sma......inahitaji mbegu bora zenye uwezo wa IQ......cha kufanya.........kwa sababu unategemea mvua......jaribu kuwaona wataalamu wa palizi......vinginevyo.....mbegu zitadumaa......
mmmh sijakuelewa bwana nipo seriaz ujue
 
wataalamu wa K wako wengi mbona humu JF,
ila inabidi umpate mtaalam mzuri wa kilimo cha maharage.....

you have to read btn the lines to understand this
sizungumzii kiarage cha huku bwana...humu jf mmepinda khaaa!
 
Kilimo,k,maharage,kiarage,eeeh? Ntakuwa wa mwisho!
 
sizungumzii kiarage cha huku bwana...humu jf mmepinda khaaa!

hivi humu JF hakunaga jukwaa la kilimo eenhe.......
ila na we Smile kwanin hujamalizia ile k kwenye heading ya thread yako

maana hapa MMU umetufanya tutafsiri ndivyo sivyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom