Ingieni field jamani hebu waachieni basi wanaojua haya mambo. Umemuona yule wa jana anasema anauza nyanya amelimia Dumila? Akipata faida ya 1m nitakupa nusu yake!Mchawi hali ya hewa masoko yapo 24 hours
Biashara ya kilimo nadhani sio biashara ya cash wakulima wengi hawaelewi hilo. Kuna mazao ni wanted hayo unaweza uza kwa cash, ila mazao kama hizo nyanya asee kwa mkulima nadhani ingekua vyema ukiwa unavuna unaandaa wafanyabiashara wako wa uhakika Unawakopesha.Ingieni field jamani hebu waachieni basi wanaojua haya mambo. Umemuona yule wa jana anasema anauza nyanya amelimia Dumila? Akipata faida ya 1m nitakupa nusu yake!
Nyanya inaliwa wakati wote na muda wote inahitajika, ukisema alime kwa msimu kuna mazao ya kufanya hivyo sio nyanya ambayo kila siku inatumika..ktk mapishi yako ni lini umemaliza wiki hujatumia nyanya?Yaani wewe ni mweupe sana, ila kwa suala la jana nilishindwa kushangaa. Hivi mkulima gani smart unalima nyanya uvune miez hii jamani? Sijui ugeni au nini?
Hapa napoishi naishi karibu na mto so majirani wote wanalimaga nyanya, yaani toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado manyanya yamedoda nakula salads hadi nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani, nyanya ivune December kuelekea January au ivune April hivi
Kuna irrigation mkuu nowadaysmchawi hali ya hewa...masoko yapo 24hrs
cha hivyo sawa...Kuna irrigation mkuu nowadays
Kwa mtaji wa milioni 1 naweza kufanya nini.. Niko Moshi mjiniNiambie lolote sio kilimo
Kwanza nadhani usilime mkuu kilimo kinahitaji hela. Bora ufikirie biashara nyingineKwa mtaji wa milioni 1 naweza kufanya nini? Niko Moshi mjini
Samahani best hivi wateja wa kununua nyanya za green house huwa wanatoka wapi? kuna mzee hapa Moro alilima akawa anauza km na wadumila tu huwa inakuwaje jaman lakini? Kule Tegeta kuna gh km 4 zimedoda, naonaga kunguru tu hebu tuwe wawazi.Tafuta milioni 3 jenga greenhouse la size ya 8-15 panda nyanya na pilipili hoho za njano /nyekundu
Mtaji wa shilingi ngapiKama una mtaji nitafute, sina mtaji lakini nina, ardhi nzuri, akili ya kilimo maisha, uthubutu na location nzuri ya kilimo biashara. (Location ni Morogoro). Kilimo ni cha Gardening, pilpili, tangawizi, nyanya, spinach, iliki, na mengineyo.
Biashara yoyote kabla hujaifanya lazima ufanye research (marketing 4ps / 7ps lazma zihusike). Hata kuku ukifuga bila kujua utamuuzia nani na kwa bei gani lazma watadoda tuSamahani best hivi wateja wa kununua nyanya za green house huwa wanatoka wapi? kuna mzee hapa Moro alilima akawa anauza km na wadumila tu huwa inakuwaje jaman lakini? Kule Tegeta kuna gh km 4 zimedoda, naonaga kunguru tu hebu tuwe wawazi.
Point yangu kubwa kilimo na mitaji yetu ni kuunga unga, hebu tushauriane vitu vya uhalisia.
Wewe kweli ni MkulimaYaani wewe ni mweupe sana! Ila kwa suala la jana nilishindwa kushangaa. Hivi mkulima gani smart unalima nyanya uvune miezi hii jamani? Sijui ugeni au nini?
Hapa napoishi naishi karibu na mto so majirani wote wanalimaga nyanya, yaani toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado manyanya yamedoda nakula salads had nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani nyanya ivune December kuelekea January au ivune April hivi
Nami naona kasimuliwa kwamba kilimo kinalipa Kama kuwasha na kuzima umeme. Kilimo ni kuingia shambani hata kwa jirani, fuatilia msimu mzima mpaka mwisho utapata majibu. Akiulizia nyuma ya keyboard na kulima kwa WhatsApp tegemea kilio.Inaonekana huna idea kbs..nakushauri asithubutu kulimA..! utapoteza hela yako mapema sana!