Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Ingieni field jamani hebu waachieni basi wanaojua haya mambo. Umemuona yule wa jana anasema anauza nyanya amelimia Dumila? Akipata faida ya 1m nitakupa nusu yake!
Biashara ya kilimo nadhani sio biashara ya cash wakulima wengi hawaelewi hilo. Kuna mazao ni wanted hayo unaweza uza kwa cash, ila mazao kama hizo nyanya asee kwa mkulima nadhani ingekua vyema ukiwa unavuna unaandaa wafanyabiashara wako wa uhakika Unawakopesha.

Hamna ataekataa kukopa..unawapelekea hadi walipo kwa gharama zako then hela yako unaipitia after a month ila tatizo wa wakulima wa Tanzania mitaji yao huishia kupanda mpk kwenye Kuvuna, akishavuna pale hana hata hela ya Kusafirisha yale mazao kuyaleta MJINI (MASOKONI) anakaa anatafuta mteja angali mazao yapo shambani.

Mwisho wa siku mazao yanaendelea kuoza na kuharibika ila naamini wakulima wakijipanga kwenye kilimo akaingia na Hela ya Mbegu, Kilimo, Mavuno, usafiri mpaka kwa mlaji kisha akakopesha. Uhakika wa kutolia ukosekanaji wa SOKO ni mdogo sana sana.
 
Perimeter,
Yaani wewe ni mweupe sana, ila kwa suala la jana nilishindwa kushangaa. Hivi mkulima gani smart unalima nyanya uvune miez hii jamani? Sijui ugeni au nini?

Hapa napoishi naishi karibu na mto so majirani wote wanalimaga nyanya, yaani toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado manyanya yamedoda nakula salads hadi nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani, nyanya ivune December kuelekea January au ivune April hivi
 
Nyanya inaliwa wakati wote na muda wote inahitajika, ukisema alime kwa msimu kuna mazao ya kufanya hivyo sio nyanya ambayo kila siku inatumika..ktk mapishi yako ni lini umemaliza wiki hujatumia nyanya?

Wewe unasema hivyo kwasababu unataka Cash to Cash ila nyanya ukiikopesha ukaimwaga sokoni,magengeni ukakopesha Nyanya inakutoa mane...we upo huko kwa wakulima ndio mana unazila..Huku sisi nyanya 4 ni 1000. tena ni tunyanya tudogo kama tuchuchu twako.

Point kuu hapa zao kama hili lisilohifadhika nikulikopesha acha uonekane chizi ila ni rahisi kumtafuta binadamu unaemdai kuliko kuitafuta nyanya iliyoooza isiyofaa hata kwa masalo.
 
Tafuta milioni 3 jenga greenhouse la size ya 8-15 panda nyanya na pilipili hoho za njano /nyekundu
Samahani best hivi wateja wa kununua nyanya za green house huwa wanatoka wapi? kuna mzee hapa Moro alilima akawa anauza km na wadumila tu huwa inakuwaje jaman lakini? Kule Tegeta kuna gh km 4 zimedoda, naonaga kunguru tu hebu tuwe wawazi.
Point yangu kubwa kilimo na mitaji yetu ni kuunga unga, hebu tushauriane vitu vya uhalisia.
 
Kama una mtaji nitafute, sina mtaji lakini nina, ardhi nzuri, akili ya kilimo maisha, uthubutu na location nzuri ya kilimo biashara. (Location ni Morogoro). Kilimo ni cha Gardening, pilpili, tangawizi, nyanya, spinach, iliki, na mengineyo.
 
Mtaji wa shilingi ngapi
 
Samahani best hivi wateja wa kununua nyanya za green house huwa wanatoka wapi? kuna mzee hapa Moro alilima akawa anauza km na wadumila tu huwa inakuwaje jaman lakini? Kule Tegeta kuna gh km 4 zimedoda, naonaga kunguru tu hebu tuwe wawazi.
Point yangu kubwa kilimo na mitaji yetu ni kuunga unga, hebu tushauriane vitu vya uhalisia.
Biashara yoyote kabla hujaifanya lazima ufanye research (marketing 4ps / 7ps lazma zihusike). Hata kuku ukifuga bila kujua utamuuzia nani na kwa bei gani lazma watadoda tu

Hakuna mteja maalumu wa nyanya za greenhouse/ mteja ni yuleyule anayenunua nyanya zitokazo shamba za kawaida. Cha muhimu kwenye kilimo kama cha nyanya ni uelewa wa soko na TIMING ya soko (unalima wakati gani na unavuna wakati gani) demand and supply na mahusiano na wateja

Wakazi wengi wa Dar wanalima kwa fashion yaani mtu ni muajiriwa then anajenga greenhouse analima mazao lakini anakuwa hana commitment kwenye kilimo why? Mwisho wa mwezi mshahara unaingia. Anakuwa hata ule moto wa kutafuta masoko hana matokea yake mazao yanamdodea
 
Jimmie Gatsby, umesema kweli mzee baba,mimi kilimo nitafanya labda cha kulima mahindi kwa ajili ya mifugo yangu lakini cha kibiashara hapana yaani bora kua dalali wa hayo mazao kuliko kulima.
 
Jimmie Gatsby, Huko kwenye timing tuseme tulishatoka, hawa wanaovuna sasa hivi wanapata faida nyembamba sana ndiyo nakubali lakini narudia tena hata upeleke maofisini nyanya za green house bado ni kwikwi tu maana sado ya green house inafikaga hadi 12000/= anyways! Ni changamoto bado.
 
Yaani wewe ni mweupe sana! Ila kwa suala la jana nilishindwa kushangaa. Hivi mkulima gani smart unalima nyanya uvune miezi hii jamani? Sijui ugeni au nini?

Hapa napoishi naishi karibu na mto so majirani wote wanalimaga nyanya, yaani toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado manyanya yamedoda nakula salads had nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani nyanya ivune December kuelekea January au ivune April hivi
Wewe kweli ni Mkulima
Huyo jamaa analeta story za kukopeshana sijui nini
Mkuu naomba uzoefu wako katika kilimo cha hoho
 
Inaonekana huna idea kbs..nakushauri asithubutu kulimA..! utapoteza hela yako mapema sana!
Nami naona kasimuliwa kwamba kilimo kinalipa Kama kuwasha na kuzima umeme. Kilimo ni kuingia shambani hata kwa jirani, fuatilia msimu mzima mpaka mwisho utapata majibu. Akiulizia nyuma ya keyboard na kulima kwa WhatsApp tegemea kilio.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom