Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,559
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,559 2,000
biashara yoyote kabla hujaifanya lazima ufanye research (marketing 4ps / 7ps lazma zihusike)

hata kuku ukifuga bila kujua utamuuzia nani na kwa bei gani lazma watadoda tu

hakuna mteja maalumu wa nyanya za greenhouse/ mteja ni yuleyule anayenunua nyanya zitokazo shamba za kawaida

chamuhimu kwenye kilimo kama cha nyanya ni uelewa wa soko na TIMING ya soko( unalima wakati gani na unavuna wakati gani) demand and suply na mahusiano na wateja

wakazi wengi wa dar wanalima kwa fashion yani mtu ni muajiliwa then anajenga greenhouse analima mazao lakin anakuwa hana commitment kwenye kilimo why? mwisho wa mwezi mshahara unaingia

anakuwa hata ule moto wa kutafuta masoko hana matokea yake mazao yanamdodea
Daah umesema kweli mzee baba,mimi kilimo nitafanya labda cha kulima mahindi kwa ajili ya mifugo yangu lkn cha kibiashara aisee hapana yaani bora kua dalali wa hayo mazao kuliko kulima.

BTW mzee baba hebu achana na haya mambo ya kilimo utapasuka kichwa rudi kule kwny mambo yetu ya AUTOS,hahah.
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000

Huko kwenye timing tuseme tulishatoka..! hawa wanaovuna sasa hv wanapata faida nyembamba sana ndyo nakubali..lakini narudia tena ...hata upeleke maofisinj nyanya za Gh bado ni kwikwi tu!maan sado ya gh inafikaga had 12000/=..anywys! ni changamoto bado
 
fdizzle

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,312
Points
2,000
fdizzle

fdizzle

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,312 2,000
Yaan ww ni mweupe sana! ila kwa suala la jana nil8shindqa kushangaa..hv mkulima gan smart unalima nyanya uvune miez hii jamani?sijui ugeni au nn?

Hapa napoishi naishi karibu na mto..so majirani wote wanalimaga nyanya ..yaan toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado..manyanya yamedoda..nakula salads had nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani..nyanya ivune dec kuelekea jan..au ivune april hv..!
Wewe kweli ni Mkulima
Huyo jamaa analeta story za kukopeshana sijui nini
Mkuu naomba uzoefu wako ktk kilimo cha hoho
 
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
3,521
Points
2,000
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
3,521 2,000
Daah umesema kweli mzee baba,mimi kilimo nitafanya labda cha kulima mahindi kwa ajili ya mifugo yangu lkn cha kibiashara aisee hapana yaani bora kua dalali wa hayo mazao kuliko kulima.

BTW mzee baba hebu achana na haya mambo ya kilimo utapasuka kichwa rudi kule kwny mambo yetu ya AUTOS,hahah.
😂😂😂😂😂😂 kule kwenye autos ndio nyumbani huku tunaibia ibia

na kweli kilimo ni pasua kichwa

wenyewe wanakwambia kilimo siyo parttime job ni fulltime job ukijiona una kazi nyingine unaifanya basi achana na kilimo 😂😂
 
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Messages
1,120
Points
2,000
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2010
1,120 2,000
Inaonekana huna idea kbs..nakushauri asithubutu kulimA..! utapoteza hela yako mapema sana!
Nami naona kasimuliwa kwamba kilimo kinalipa Kama kuwasha na kuzima umeme. Kilimo ni kuingia shambani hata kwa jirani, fuatilia msimu mzima mpaka mwisho utapata majibu. Akiulizia nyuma ya keyboard na kulima kwa WhatsApp tegemea kilio.
 
T

THOTHOLITHO

Senior Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
135
Points
225
T

THOTHOLITHO

Senior Member
Joined Apr 29, 2014
135 225
Wakuu habari,

Ningependa kujiingiza kwenye kilimo, lakini bado sijawa na maamuzi sahihi kuhusu mazao nitakayo lima..
Hapo kabla nilikuwa natamani nilime mpunga lakini moyo unasita. Pia niliwahi kufikiria kuhusu ufugaji wa samaki.

Wakuu naomba mnijuze ni kilimo gani kinaweza kunitoa kimaisha kwa sasa?
Ningepata na mchanganuo ingekuwa vizuri zaidi,

Asanteni.
Zao lolote lile ambalo likitumiwa na binadamu linaongeza nguvu za kiume na CD4
 
T

THOTHOLITHO

Senior Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
135
Points
225
T

THOTHOLITHO

Senior Member
Joined Apr 29, 2014
135 225
likitumiwa na binadamu au likitumiwa na mwanaume?

BTW mkuu nimekuelewa
Kuna vitu viwili hapo ndg"nguvu za kiume na CD4" na unapozungumzia binadamu ni mwanaume na mwanamke.
Fikicha akili ndio utajua usahihi wa sentensi yangu mkuu. Vipi hiyo BTW ndio nini tena???
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
439
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
439 1,000
Hoho dec zina bei nzuri...
Aisee.. Mimi nilipenda kulima vitunguu kule dodoma... Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja... Maji yapo ya uhakika..

Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika..

Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto..

ila mpaka saivi nipo njiapanda
 
BTW- BY THE WAY
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
Kuna vitu viwili hapo ndg"nguvu za kiume na CD4" na unapozungumzia binadamu ni mwanaume na mwanamke.
Fikicha akili ndio utajua usahihi wa sentensi yangu mkuu. Vipi hiyo BTW ndio nini tena???

By The Way..BTW
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
Aisee.. Mimi nilipenda kulima vitunguu kule dodoma... Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja... Maji yapo ya uhakika..

Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika..

Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto..

ila mpaka saivi nipo njiapanda

Kakae huko fanya kazi za shamba ht km hulipwi...uangalie chamgamoto zao zote na masoko!hoho hazina gharama
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
Aisee.. Mimi nilipenda kulima vitunguu kule dodoma... Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja... Maji yapo ya uhakika..

Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika..

Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto..

ila mpaka saivi nipo njiapanda

ningekuwa mm ww ningetafuta mwenzangi mmoja mtafte masoko ya nje...walau Rwanda au sudan...!fikiria kwa picha kubwa kidg .!achana na presha za shamba ...hubby aliwah lima na mtaalam m1 hv wakashea eka 5 kitunguu kilitoka kikubwa sana..sokoni vikasumbua balaa .mavtunguu yakitoka makubwa sana yanasumbua sana sokonj..eish..!
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
439
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
439 1,000
ningekuwa mm ww ningetafuta mwenzangi mmoja mtafte masoko ya nje...walau Rwanda au sudan...!fikiria kwa picha kubwa kidg .!achana na presha za shamba ...hubby aliwah lima na mtaalam m1 hv wakashea eka 5 kitunguu kilitoka kikubwa sana..sokoni vikasumbua balaa .mavtunguu yakitoka makubwa sana yanasumbua sana sokonj..eish..!
Mkuu kumbuka mimi ID yangu ilikuwa inasomeka "maskini wa jf" .... Nimebadilisha jina tuu baada ya kupata kamtaji ka milioni moja(joking)..

Hapo namaanisha nina kiasi kidogo cha fedha na kitu unachojaribu kuniambia yani sina idea kabisa.. Alafu mtaji unahitajika wa kutosha..

... Kabla sijasahau ... Kuhusu izo hoho zinalimwa maeneo ya wapi? Na inaweza kuni-cost shilingi ngapi kwa ekari moja?
 
Forum statistics

Threads 1,334,908
Members 512,150
Posts 32,490,486
Top