Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
Kilimo ni Probability otherwise ufnye kilimo cha umwagiliaji,,ila kama unafanya kilimo cha kutegemea mvua za MUNGU aseee una BET so kubaliana na matokeo yoyote
 
exit

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,631
Points
2,000
exit

exit

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,631 2,000
Hakuna kilimo chenye mafanikio Tanzania, unalima ili maisha yaende na hasara.
 
faruJoh

faruJoh

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
49
Points
125
faruJoh

faruJoh

Member
Joined Jul 20, 2019
49 125
Kilmo cha Bangi kwa nchi zilzo ruhusiwa
Cjui wew upo nchi gan
 
G

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
2,125
Points
2,000
G

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
2,125 2,000
Lima Gold baba kg moja huwii hapo tu zambia eka moja inatoa hadi 21000 UDS na sadeck jana ilikuwa hapa nimeshachukua contact nahama nchi nimeshapa vijana wangunwatatu toka Tari,e na Chuga purii wida
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
Mahindi na mpunga braza.... Ila tu ufate tartibu za kilimo na uchaguzu wa mikoa ili ujihakikishie kupata mazao ya uhakika na ubanifu wa pesa.

Usiwaze kuhusu bei .... Kilimo hasra yake ni kukosa tu mazao ila yakipatikana tu basi faida ipo kwenye mauzo
Wacha bwana!
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
Ingien8 field jaman hebu waachien bas wanaojua haya mambo...umemuona yule wa jana anasema anauza nyanya amelimia dumila? akipata faida ya 1m nitakupa nusu yake!
biashara ya kilimo nadhani sio biashara ya cash..wakulima wengi hawaelewi hilo..Kuna mazao ni wanted hayo unaweza uza kwa cash..ila mazao kama hizo nyanya asee kwa mkulima nadhani ingekua vyema ukiwa unavuna unaandaa wafanyabiashara wako wa uhakika Unawakopesha.

Hamna ataekataa kukopa..unawapelekea hadi walipo kwa gharama zako then hela yako unaipitia after a month ila tatizo wa wakulima wa TZ mitaji yao huishia kupanda mpk kwenye Kuvuna...akishavuna pale hana hata hela ya Kusafirisha yale mazao kuyaleta MJINI (MASOKONI) anakaa anatafuta mteja angali mazao yapo shambani.

mwisho wa siku mazao yanaendelea kuoza na kuharibika...ila naamini wakulima wakijipanga kwenye kilimo akaingia na Hela ya Mbegu,Kilimo,Mavuno,usafiri mpk kwa mlaji kisha akakopesha..Uhakika wa kutolia ukosekanaji wa SOKO ni mdogo sana sana.
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
biashara ya kilimo nadhani sio biashara ya cash..wakulima wengi hawaelewi hilo..Kuna mazao ni wanted hayo unaweza uza kwa cash..ila mazao kama hizo nyanya asee kwa mkulima nadhani ingekua vyema ukiwa unavuna unaandaa wafanyabiashara wako wa uhakika Unawakopesha.

Hamna ataekataa kukopa..unawapelekea hadi walipo kwa gharama zako then hela yako unaipitia after a month ila tatizo wa wakulima wa TZ mitaji yao huishia kupanda mpk kwenye Kuvuna...akishavuna pale hana hata hela ya Kusafirisha yale mazao kuyaleta MJINI (MASOKONI) anakaa anatafuta mteja angali mazao yapo shambani.

mwisho wa siku mazao yanaendelea kuoza na kuharibika...ila naamini wakulima wakijipanga kwenye kilimo akaingia na Hela ya Mbegu,Kilimo,Mavuno,usafiri mpk kwa mlaji kisha akakopesha..Uhakika wa kutolia ukosekanaji wa SOKO ni mdogo sana sana.

Yaan ww ni mweupe sana! ila kwa suala la jana nil8shindqa kushangaa..hv mkulima gan smart unalima nyanya uvune miez hii jamani🤔?sijui ugeni au nn?

Hapa napoishi naishi karibu na mto..so majirani wote wanalimaga nyanya ..yaan toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado..manyanya yamedoda..nakula salads had nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani..nyanya ivune dec kuelekea jan..au ivune april hv..!
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
Yaan ww ni mweupe sana! ila kwa suala la jana nil8shindqa kushangaa..hv mkulima gan smart unalima nyanya uvune miez hii jamani🤔?sijui ugeni au nn?

Hapa napoishi naishi karibu na mto..so majirani wote wanalimaga nyanya ..yaan toka nimefika kila siku naletewa minyanya masado na masado..manyanya yamedoda..nakula salads had nimekinai!
Limeni kwa misimu jamani..nyanya ivune dec kuelekea jan..au ivune april hv..!
nyanya inaliwa wakati wote na muda wote inahitajika...ukisema alime kwa msimu kuna mazao ya kufanya hivyo sio nyanya ambayo kila siku inatumika..ktk mapishi yako ni lini umemaliza wiki hujatumia nyanya?

Wewe unasema hivyo kwasababu unataka Cash to Cash ila nyanya ukiikopesha ukaimwaga sokoni,magengeni ukakopesha Nyanya inakutoa mane...we upo huko kwa wakulima ndio mana unazila..Huku sisi nyanya 4 ni 1000. tena ni tunyanya tudogo kama tuchuchu twako.

Point kuu hapa zao kama hili lisilohifadhika nikulikopesha acha uonekane chizi ila ni rahisi kumtafuta binadamu unaemdai kuliko kuitafuta nyanya iliyoooza isiyofaa hata kwa masalo.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,328
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,328 2,000
Inapendeza... ngoa waje kukupa muongozo...

Cc: mahondaw
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
nyanya inaliwa wakati wote na muda wote inahitajika...ukisema alime kwa msimu kuna mazao ya kufanya hivyo sio nyanya ambayo kila siku inatumika..ktk mapishi yako ni lini umemaliza wiki hujatumia nyanya?

Wewe unasema hivyo kwasababu unataka Cash to Cash ila nyanya ukiikopesha ukaimwaga sokoni,magengeni ukakopesha Nyanya inakutoa mane...we upo huko kwa wakulima ndio mana unazila..Huku sisi nyanya 4 ni 1000. tena ni tunyanya tudogo kama tuchuchu twako.

Point kuu hapa zao kama hili lisilohifadhika nikulikopesha acha uonekane chizi ila ni rahisi kumtafuta binadamu unaemdai kuliko kuitafuta nyanya iliyoooza isiyofaa hata kwa masalo.

Jitahidi uingie field walaU mwaka 1
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
Jitahidi uingie field walaU mwaka 1
nikienda shamba ntapga picha kukuonyesha ninachokiandika then utazikuta PM..Nipo mzigoni mwaka wa pili sasa..siandiki kwa kilimo cha Mtandaoni..naandika experience (kile ninachofanya mimi)

Sinaga smart 4n tu bahati angu mbaya..
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
nikienda shamba ntapga picha kukuonyesha ninachokiandika then utazikuta PM..Nipo mzigoni mwaka wa pili sasa..siandiki kwa kilimo cha Mtandaoni..naandika experience (kile ninachofanya mimi)

Sinaga smart 4n tu bahati angu mbaya..
mwaka wa 2 na unanuambia una mishe fulani..duh..!haya
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
mwaka wa 2 na unanuambia una mishe fulani..duh..!haya
kwan wewe una mishe moja dunia hii? au ilitakiwa nianze orodhesha zoteeee..Mungu ndio mana alitupa m 😍 acho mawili,mikono miwili,nk Alikua na maana sana.

Ile mishe inafanyika kama kawaida na zingine kama kawaida...Ntakusimulia mwaya kwa picha na vitendo..sawa toto akeeeee
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,259
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,259 2,000
kwan wewe una mishe moja dunia hii? au ilitakiwa nianze orodhesha zoteeee..Mungu ndio mana alitupa m 😍 acho mawili,mikono miwili,nk Alikua na maana sana.

Ile mishe inafanyika kama kawaida na zingine kama kawaida...Ntakusimulia mwaya kwa picha na vitendo..sawa toto akeeeee

Haya mkuu nakubali ...kuwa tulime alfu tukopeshe..na kilimo sokoni soko liko vzr sana ni ww tu! nakubali kbs hili mkuu!
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
Haya mkuu nakubali ...kuwa tulime alfu tukopeshe..na kilimo sokoni soko liko vzr sana ni ww tu! nakubali kbs hili mkuu!
darasani hesabu mwalimu akituuliza mmeeelewa Tulikua tunajibu Ndiooo...akikupa swali una solve mwanzo mwisho...Kwenye pepa ukifika unakutana na hesabu hujawahi ziona..unabaki unatoa macho.

We sema umeelewa Lima ten kopesha uone utavyodondokea Pua..kilimo ni HESABU ukiambiwa faida ipo,soko lipo Uliza mara mbili mbili HOW usiseme tu unakubali otherwise uwe unani masoud kipanya.
 
Forum statistics

Threads 1,334,277
Members 511,934
Posts 32,471,658
Top