Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,444
Mkuu hiyo miaka mitatu sitaweza kuhimili changamoto, atleast maximum miezi 6 Zao linalolimwa zaidi ya muda huo sitawezaKilimo cha parachichi
Unapanda miche baada ya miaka mitatu unaanza kuvuna
Kilo moja ya parachichi 1200 mpaka1600 inategemea na ubora wake
Wateja ni Wazungu na Wakenya yanasafirishwa nnje
Wanalima Njombe na Mbeya
Halina changamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.Mkuu hiyo miaka mitatu sitaweza kuhimili changamoto, atleast maximum miezi 6 Zao linalolimwa zaidi ya muda huo sitaweza
Soko la pilipili?Halina changamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo
Hapo kwenye tangawizi inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?Halina changamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo
Soko la pilipili?
Soko lake sio zuri sana kilimo ni bahati kuna kipindi kilo moja huwa inakua 4000 na kuna kipidi inashuka mpaka 1000Hapo kwenye tangawizi, inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
Nahitaji kua mtu wa kati kilimo kitanilipa?
Ni mgeni katika fursa hii,naomba unishauri mazao gani ambayo vyema ningelianza kudeal nayo katika kuyanunua.Nunua nafaka hautakua na stress za kilimo
Mchawi hali ya hewa masoko yapo 24 hoursMchawi masoko mkuu, ukiweza ku-win masoko unatusua