Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Sio kukulupuka, kumbuka Kuna watu wanafanya kilimo kama kaziyao yakudumu, Hivyo mwaka ikiwalipa wanafirahia na mwaka ikiwatupa mkono Hujipa tumaini kuwa hienda msimu ujao mambo yaatakuwa vzur. Na Maisha yanaendalea.
Ila ukienda kujalibu na kwa kuskia tuu faida ipo bas jua lolote linaweza kutokea
 
Wakuu Habarini. Mimi ni Mdau wa kilimo. Mwaka huu nimepanga kulima ekari 30 za ufuta Morogoro. Hivi sasa ndo nang’oa visiki shambani kwani shamba halijawahi kulimwa (virgin land). Sasa kwa wale wazoefu naombeni uzoefu wenu katika haya yafuatayo
1. Ni wakati gani sahihi wa kupanda
2. Mbegu gani ni bora zaidi ya kukupa mavuno mazuri na bei zake zikoje?
3. Je kuna dawa ya kuua magugu/nyasi kabla ya kupanda. Na inapuliziwa muda gani kabla ya kupanda?
4. Je kwa hili shamba jipya lenye rutuba litahitaji mbolea? Na kama linahitaji je ni mbolea gani iliyo nzuri zaidi.
5. Kuhusu soko najua msimu huu ulikuwa mzuri nahisi mwakani itakuwa maradufu.
Biblia inasema “Kama mwataka mali mtazipata shambani “ nami nimeamua kuitekeleza kwa vitendo.
 
Wazoefu tunaomba maelekezo n mm natak nilime ufuta
 
Back
Top Bottom