Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,211
- 2,445
Viazi kwa ajiri ya mbegu miezi isiyo pungua mitatu vikiwa chini ya kivuli,ila kwa ajiri ya kula vimejitahidi wiki tatuMkuu naomba unijuze mfano nikivuna viazi na kuvihifadhi vinaweza kukaa mda gani pasipo kuharibika?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app