Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

Mwaka jana nililima huko Njombe hivyo viazi ila mwisho wa siku nimetapeliwa na aliyekuwa msimamizi maana nilikuwa bize sana
Nilitumia zaidi ya M12 lakini sijavuna hata mia, njombe matapeli sana aiseeh
kama uliivisha,basi shida yako ipo kwenye management,usimwamini mtu,hakuna mtu aliye na uchungu wa kweli zaidi yako mwenyewe usikate tamaa rekebisha madhaifu,utapata faida.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Habari Zenu,

Amani ya Mungu iwe juu yenu. Nopo kwenye mchakato mwakani ni export viazi Mviringo nchi jirani. Ningependa kujua yafuatayo:

A) Mikoa gani inazalisha zao hili kwa wingi?

B) Bei zipoje kutoka kwa wakulima moja kwa moja?

C) Na je, ubora wa viazi upoje, maana ni sawa na karafuu ya Morogoro ipo chini ya ubora ukilinganisha na ya Pemba, na Karafuu ya Zanzibar ipo chini ya ubora ikilinganisha na ya Indouhnesia.

Hope na viazi itakuwa ubora tofauti

D) Misimu yake kibiashara ipoje

Blessed
 
Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na nyingine kuwa juu,sasa nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji na nilitamani sana kutumia mipira ya dripping pamoja na kuweka tenki ila mtaji wangu ni mdogo sasa nilikuwa nafikiria ninunue pampu ya MONEY MAKER kwa ajiri ya kuweka kibarua amwagilie sasa najiuliza je hizi pampu zinafanya vizuri kwenye mazingira kama hayo ukizingatia ndo naanza kilimo?
Mkuu ushawahi kutumia pump ya money maker?? Kui operate sio kazi ya kitoto mkuu!

Kwanini usinunue pump za petrol za laki tatu au nne??
 
Mkuu ushawahi kutumia pump ya money maker? Kui-operate sio kazi ya kitoto mkuu!

Kwanini usinunue pump za petrol za laki tatu au nne?
Nashukuru boss kwa concern yako, nilishabadilisha huo mtazamo sa hivi najipanga ninunue pump ya mafuta though najua sio bei sana ila shida kwenye mahitaji ya mafuta nadhani nahitaji kujipanga zaidi si unajua kilimo chetu hiki auhitaji kukurupuka, mdogo mdogo.

Thanks.
 
Nashukuru boss kwa concern yako,nilishabadilisha huo mtazamo sa hivi najipanga ninunue pump ya mafuta though najua sio bei sana ila shida kwenye mahitaji ya mafuta nadhani nahitaji kujipanga zaidi si unajua kilimo chetu hiki auhitaji kukurupuka, mdogo mdogo. Thanks.
Nunua pump za solar ukwepe ghrama za mafuta kutoka kwetu Galaxy Energy Solutions ltd wasiliana nasi kwa 0789667888
 
Nunua pump za solar ukwepe ghrama za mafuta kutoka kwetu Galaxy Energy Solutions ltd wasiliana nasi kwa 0789667888
Pump za solar,hizi si zitakua bei juu sana mkuu? Ok mnauzaje zenye uwezo wa chini kabisa sababu chanzo changu cha maji hakipo mbali sana na hakuna mteremko mkali sana.
 
Kuna aina ya Kiazi inaitwa obama kinalimwa sana Lushoto. Watu wa pande hizo nawaje watoe data za kutosha tunufaike.
Mkuu nimelima nipo Lushoto, nikivuna panapomajaalowa mwanzon mwa mwezi wa saba ntakuja na mrejesho.
 
Mkuu nimelima nipo Lushoto, nikivuna panapomajaalowa mwanzon mwa mwezi wa saba ntakuja na mrejesho.
Tutashukuru kusikia habari njema kutoka kwako,tunakuombea Mungu ufanikiwe, si wengine ndo tunaandaa andaa mambo.
 
Habari Zenu
Amani ya Mungu iwe juu yenu,

Nopo kwenye mchakato mwakani ni export Viazi Mviringo Nchi jirani.

Ningependa kujua yafuatayo:

A) Mikoa gani inazalisha zao hili kwa wingi?

B) Bei zipoje kutoka kwa wakulima moja kwa moja?

C) Na je, ubora wa viazi upoje, maana ni sawa na karafuu ya Morogoro ipo chini ya ubora ukilinganisha na ya Pemba,na Karafuu ya Zanzibar ipo chini ya ubora ikilinganisha na ya Indouhnesia.

Hope na viazi itakuwa ubora tofauti

D) Misimu yake kibiashara ipoje

Blessed
Njombe Mbeya Arusha ni mikoa baadhi ninayoijua inazalishakwa wingi.
 
Habari wakuu,

Nina mpango na nia ya kutaka kuwekeza kwenye kilimo cha zao tajwa hapo juu. Naomba kujuzwa kuhusu msimu wa kulimwa zao hilo na changamoto zake.

Nategemea kulima Njombe.

karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumbolisasi,
Msimu labda waenyeji wangekusaidia ila huu ndo msimu wao, tafta mbegu bora na yenye soko.

Changamoto kubwa ni mashambulizi ya UKUNGU.
 
Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na nyingine kuwa juu,sasa nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji na nilitamani sana kutumia mipira ya dripping pamoja na kuweka tenki ila mtaji wangu ni mdogo sasa nilikuwa nafikiria ninunue pampu ya MONEY MAKER kwa ajiri ya kuweka kibarua amwagilie sasa najiuliza je hizi pampu zinafanya vizuri kwenye mazingira kama hayo ukizingatia ndo naanza kilimo?

Money maker pump ni nzuri lakini uwe na nguvu kazi wa kutosha kwa ajili ya kupump na kama uko peke yako basi huenda mwisho wa kilimo chako ukawa uko hoi maana kuna jamaa alikuwa fit akaamua kutumia hiyo pump matokeo yake kilichomkuta ni siri yake.
 
Money Maker pump ni nzuri lakini uwe na nguvu kazi wa kutosha kwa ajili ya kupump na kama uko peke yako basi huenda mwisho wa kilimo chako ukawa uko hoi maana kuna jamaa alikuwa fit akaamua kutumia hiyo pump matokeo yake kilichomkuta ni siri yake.
Alikuwaje mkuu?
 
Back
Top Bottom