Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

Viazi mviringo huoteshwa katika chumba ambacho kina mwanga wa kutosha (sio jua) na hewa, mara nyingi viazi huweza kuoza kwa wingi na rahisi endapo utakuwa umeviweka kwenye gunia muda wote na hapo inapotokea kiazi kimoja kimeoza huambukiza na vingine.(wengine huweka vichanja maalumu katika vyumba vya kuhifadhia viazi vivyo)

NB:

Muda wa kuota hutegemeana na:-
1. Aina ya mbegu;mfano sherehekea huchelewa sana kuota kuliko alika n.k.
2. Hali ya hewa:mfano baridi kali huweza kuchelewesha uotaji.n.k.
 
Ikiwa upo Mbeya, waweza kwenda Uyole Agriculture Institute wana elimu ya kukusaidia, ila tambua, mbegu lazima iwe na viwango, usije chukua viazi ulivyovuna ukasema utatumia kama mbegu baadae.

Ujue unabeba magonjwa kutoka generation moja kwenda generation nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viazi mviringo huoteshwa katika chumba ambacho kina mwanga wa kutosha(sio jua) na hewa,mara nyingi viazi huweza kuoza kwa wingi na rahisi endapo utakuwa umeviweka kwenye gunia muda wote na hapo inapotokea kiazi kimoja kimeoza huambukiza na vingine.(wengine huweka vichanja maalumu katika vyumba vya kuhifadhia viazi vivyo)
NB:
Muda wa kuota hutegemeana na:-
1.Aina ya mbegu;mfano sherehekea huchelewa sana kuota kuliko alika n.k.
2.Hali ya hewa:mfano baridi kali huweza kuchelewesha uotaji.n.k.

Mi niko Mwanza, sasa hizo mbegu za kununua zikiwa zimeota nitazipata kweli?
Mwanza sehemu gani unako taka kulima viazi mviringo.

NB: Kumbuka viazi hustawi vizuri sana kwenye nyuzi joto 18-22 C, huwezi pata kitu kabisa kwenye joto chini ya sentigredi 10 na juu ya sentigredi 30.
 
Wanabodi, baada ya kufuatilia kwa kina na kwa mantiki ya hali ya juu, juu ya kilimo cha viazi mviringo ama viazi ulaya, (Irish potatoes) nahitaji mbia ama mwekezaji mwenza ili tukalime na kuanya biashara hii ya viazi.

Napenda kutoa wasi wasi juu ya uwekezaji huu, kwani una returns nzuri mno mzigo ukifika somoni.
Kwa yoyote aliye tayari, asisite kunitafuta kwa ajili ya majadiliano ya kina.

NAWASILISHA

Wewe umejuaje?

Honestly nikirefer uzi wako kua unatoa bima ya afya nakuona umekaa kipigaji pigaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejuaje?

Honestly nikirefer uzi wako kua unatoa bima ya afya nakuona umekaa kipigaji pigaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, professionally mie ni mtu wa bima nafanya kazi katika kampuni ya bima. Upande wa kilimo sio mtaalamu lakini niliwahi kufuatilia kuhusu kilimo hiki cha viazi. Nadhan mda umefika nataka kujaribu. Mie mpambanaji uhuni kwangu mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
İts

İts a porobality game.2017 viazi vilikuwa mpaka 18000 gunia na bado wanumuzi huwaoni, 2018 mpaka 80000 gunia.
 
Back
Top Bottom