Kilimo cha parachichi

Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
5,027
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
5,027 2,000
Kabla hujaingia huku plzzzz fika rungwe avocado hapo utapata utaratibu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,074
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,074 1,250

Namba zao sijasave, Google utazipata
Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, tanzanice njombe (sishauri sana hapa). Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
5,027
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
5,027 2,000
Namba zao sijasave, Google utazipata
Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, tanzanice njombe (sishauri sana hapa). Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu
Tanzanice nasikia ndio wapo huko nyanda za juu kusini....watawaliza wakulima
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,074
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,074 1,250
Tanzanice ni wazuri tu. Tatizo wao ni only organic certified, hawapo global gap Kama rungwe kwahiyo wanakutana na competition kubwa sokoni na hawawezi kuuza bei nzuri huko euro Kama rungwe. Pia wanadeal na current market needs so anytime wanaweza kuacha avocado na kuhamia zao lingine mfano mwaka huu wamecertify wakulima wa passion fruit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
470
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
470 500
Kila eneo la ekari moja it is Ideal kuvuna matunda ya parachichi yenye thamani ya milioni mbili. Kwa ekari hamsini inamaana unakuwa unavuna matunda ya thamani ya milioni mia. yaani hapo unaajiri na kuajiri wafanya kazi kadhaa kwa ajili ya shamba tu
We hiyo bei ya wapi, msimu huuu april kilo ya parachichi ni sh.1600
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
470
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
470 500
Hili zao kweli ni deal ila mpaka uliuze ni mziki na wengi hawajui hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli,mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo.Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.Wakenya wenzetu wana export UK.Jambo lingine ni kwamba Parachichi za Tanzania zinaenda msimu tofauti na ulaya hata tulime ardhi ya mikoa yote inayostawi parachichi hatutoshelezi soko la dunia.mikoa inayastawi parachichi ni mbeya, njombe, arusha kilimanjaro kagera na kigoma.kila sehemu inayostawi kahawa na chai parachichi itakubali.
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
470
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
470 500
Ni
We hiyo bei ya wapi, msimu huuu april kilo ya parachichi ni sh.1600
Njoo njombe na mbeya utawakuta wanunuzi.Rungwe compony ni moja ya kampuni zinazonunua avocado ila vigezo lazima vizingatiwe.
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,851
Points
2,000
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,851 2,000
Ni
Njoo njombe na mbeya utawakuta wanunuzi.Rungwe compony ni moja ya kampuni zinazonunua avocado ila vigezo lazima vizingatiwe.

Vigezo gani?

Au unaongelea Organic
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
470
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
470 500
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
Wanataka parachichi isiopita kwenye kikkmbe cha chai ndio standard yao.unataka wachume hadi vidogo, hivi wewe ukienda kununua paraachich sokon unachagua hadi tudogo?
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,427
Points
2,000
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,427 2,000
Kusini ili zao huitwa green gold wengi wametoka.
So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa.
UKipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years
Mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500.UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg.Assume kilo moja ni 1500tshs(bei ya leo NJombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil(mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)
Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.
Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na NJombe kuwa na better future yako na ya wanao
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top