Kilimo cha parachichi

kapologwe

kapologwe

Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
5
Points
45
kapologwe

kapologwe

Member
Joined Apr 21, 2017
5 45
Wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Arusha, Songea na kwingineko.

Mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
 
kapologwe

kapologwe

Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
5
Points
45
kapologwe

kapologwe

Member
Joined Apr 21, 2017
5 45
maneno machache niliyochukua hapo juu. kama unafanya kazi sasa panda parachichi na itakulea zaidi ya pension yako ya kustaafu.
aksante mdau naendelea kufuatilia kwa ukaribu inaonekana kilimo hiki kina tija faida yake kama unavyosema ni zaidi ya pension
 
tembajr

tembajr

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
477
Points
1,000
tembajr

tembajr

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
477 1,000
wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya,Njombe,Iringa,Arusha,Songea na kwingineko mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
80% ya parachichi zinatoka Kilimanjaro hata arusha wanatoa moshi dar msimu wake hutokea kilimanjaro msimu ukiisha yanaenda fatwa burundi na mnufaikaji mkubwa sio mkulima ni mtu wa kati na hata ukipanda miti 20 leo hadi ije kuzaa na hata ikizaa siokuja kukupa pensheni mzee gunia la parachichi za rombo baada ya kufika dar ni 60,000 hadi 75,000 inategemea na msimu sasa kula hesabu gharama ya kutoa shamba hadi dar na anaeleta dar ananunua sokoni kwa anaetoa shamba kuna za machame sasa ambazo ndio zinafanana na za mbeya izo kuiva ni siku 1 tu ukijitekenya zinaivia njiani zinaaribika ndio maana kuzitoa mbeya ni jau sana na sio nzuri kama za rombo a gunia lake ni 45000-50000 zikifika dar sasa jiulize unazopanda ni zipi je zitakupa pensheni??
 
mdau ni sahihi unachozungumza isipokuwa maparachichi kuna varieties nyingi sana zaidi ya 60 lakini ninayozungumzia hapa tagert yake si soko la ndani najaribu kupata idea tofauti tofauti hapa we nye kujua zaidi hasa aina hii ya parachichi aina ya HASS aina hii huwa haliuzwi kwenye soko la ndani kwasababu ya uhimilivu wa kukaa muda mrefu bila kuiva
maxresdefault-jpg.916425
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,822
Points
2,000
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,822 2,000
Kama kuna mtu anategemea kupanda parachichi mwaka huu Wilaya ya Kilolo,
Basi tuwasiliane, tutakuletea seedlings mpaka shambani kwako, price yetu ni 2500/- kwa mchi,
Ni PM
 
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,843
Points
2,000
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,843 2,000
wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya,Njombe,Iringa,Arusha,Songea na kwingineko mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
Rungwe kuna kampuni inanunua na kuna mzungu kapanda shamba kubwa sana la Parachichi. Huko watu wanang'oa baadhi ya mazao na kupanda parachichi. Waliopanda zamani wanapiga sana hela. Hili zao lisipoingiliwa na mabodi ya mazao au makodi nyonyaji litawatoa sana watu. Mexico parachichi zinahela hadi mashamba yanawekewa walinzi wenye bunduki.
 
kawombe

kawombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Messages
3,715
Points
2,000
kawombe

kawombe

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2015
3,715 2,000
Kama kuna mtu anategemea kupanda parachichi mwaka huu Wilaya ya Kilolo,
Basi tuwasiliane, tutakuletea seedlings mpaka shambani kwako, price yetu ni 2500/- kwa mchi,
Ni PM
Mbegu aina gani?
 
alini alberto

alini alberto

Member
Joined
Jun 6, 2015
Messages
64
Points
95
Age
26
alini alberto

alini alberto

Member
Joined Jun 6, 2015
64 95
Nicheki inbox for avocado details(hass,fuerte,weisal,pinkerton e. t. c

0629795064
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
625
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
625 500
Kama kuna mtu anategemea kupanda parachichi mwaka huu Wilaya ya Kilolo,
Basi tuwasiliane, tutakuletea seedlings mpaka shambani kwako, price yetu ni 2500/- kwa mchi,
Ni PM
Mkuu vipi hiyo Miche ya parachichi ni ya aina gani unauza, funguka hapa nijue, maana mi sipo kilolo huko iringa, ila nipo Kilimanjaro na nimeona Bei yako ni nzuri tu.
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
625
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
625 500
Nipo Kilimanjaro nataka nijaribu hii project kwa bidii sana, so na Mimi naangalia ni jamii gani sokoni inaweza kufika maana hii oviusly ni mali kuoza na production yake ni ya kiasi gani au yield per cultivation over area, hivyo nimefurahi kuona hii thread na ninapenda kuona maoni zaidi
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
625
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
625 500
nataka nijaribu hii project kwa bidii sana, naangalia ni jamii gani ya parachichi zinaweza kufika sokoni maana hizi oviusly ni mali kuoza.
Nataka nijue production yake ni ya kiasi gani au yield per cultivation over area kwenye jamii itayo tajwa kuwa the best.
Hii project nitaifanyia Kilimanjaro, binafsi nimeona ni kilimo kizuri japo siyo cha muda mfupi kama wengi wanavofikiria kupenda kulima muda mfupi. Mimi napata changamoto ya kuzalisha Miche tu au kuwa na Miche ya kutosha inavyotakikana maana natarajia kupanda eneo kubwa kidogo ili mavuno yawe ya kutosha niuze kibiashara hata ifike mahali niwapelekee wajomba zangu wakenya japo wao hawana eneo la kulima kibiashara nawaona wakinunua sana na wamenipa hii idea, Sasa nipeni madini na pia nipeni solution mtakayopendekeza ya changamoto yangu ya Miche.
Anayeweza kunitatulia changamoto ya Miche tayari anapata fursa kwangu... Nasubiri ABCD....kutoka kwenu.
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
625
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
625 500
Yale ya kijani yakiiva ndani yanakuwa njano, ukubwa wake unaweza kufika Papai na uzito wa 1/4 kilo yana bei nzuri.
Ni kweli lakini mazuri zaidi kibiashara tunaweza lenga Yale yanayo kaa bila kuiva Mara baada ya kutolewa shambani, pia kumbuka Bei kubwa saa nyingine uhitaji unaeza ukawa kawaida
 
Forum statistics

Threads 1,293,778
Members 497,734
Posts 31,153,262
Top