Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Panda mbegu moja inaitwa hass kwanza ndo parachichi tamu zaidi likiiva na yanapelekwa hadi masoko ya nje, kama unafanyia Moshi nenda Usa River Arusha, kuna chama kinaitwa TAHA. Ukiweza waGoogle watakupatia mbegu idadi yeyote utakayo hata miche na unapewa bure yakiiva wanakutafutia na soko wao wanakukata asilimia 10% ya malipo yako, hawana wizi wala konakona wateja wanao tayari.
Umenipa Mwanga, nitawafuatilia na nitakupa mrejesho iwezekanavyo, Asante kwa huu ushauri boss
 
Nataka nijaribu hii project kwa bidii sana, naangalia ni jamii gani ya parachichi zinaweza kufika sokoni maana hizi oviusly ni mali kuoza.

Nataka nijue production yake ni ya kiasi gani au yield per cultivation over area kwenye jamii itayo tajwa kuwa the best.
Hii project nitaifanyia Kilimanjaro, binafsi nimeona ni kilimo kizuri japo siyo cha muda mfupi kama wengi wanavofikiria kupenda kulima muda mfupi. Mimi napata changamoto ya kuzalisha Miche tu au kuwa na Miche ya kutosha inavyotakikana maana natarajia kupanda eneo kubwa kidogo ili mavuno yawe ya kutosha niuze kibiashara hata ifike mahali niwapelekee wajomba zangu wakenya japo wao hawana eneo la kulima kibiashara nawaona wakinunua sana na wamenipa hii idea, Sasa nipeni madini na pia nipeni solution mtakayopendekeza ya changamoto yangu ya Miche.

Anayeweza kunitatulia changamoto ya Miche tayari anapata fursa kwangu. Nasubiri ABCD kutoka kwenu.
Duh, sawa!
 
Panda mbegu moja inaitwa hass kwanza ndo parachichi tamu zaidi likiiva na yanapelekwa hadi masoko ya nje, kama unafanyia Moshi nenda Usa River Arusha, kuna chama kinaitwa TAHA. Ukiweza waGoogle watakupatia mbegu idadi yeyote utakayo hata miche na unapewa bure yakiiva wanakutafutia na soko wao wanakukata asilimia 10% ya malipo yako, hawana wizi wala konakona wateja wanao tayari.
Kumbe tayari kuna network yake?
 
Safi sana mkuu, tunda hili ni zuri sana kwa afya.

Mie lazima nile japo moja kila siku asubuhi wakati wa chai pia nzuri kwenye smoothie au chakula chochote kuongezea radha na nutrients/virutubisho.

Ni vizuri wakulima mue mnawaelimisha wananchi faida ya kula matunda na mboga za majani kama njia ya kuongeza soko la bidhaa zenu.

Jamii yetu haina elimu ya kutosha kwenye umuhimu wa kula matunda na mboga za majani.
Bei mkuu, watu wenyewe tunaishi chini ya dola kwa siku!!!!
 
wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya,Njombe,Iringa,Arusha,Songea na kwingineko mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
Rungwe kuna Mmarekani kawekeza kweli, ananunua yeye mwenyewe toka kwa wakulima.
 
Mdau ni sahihi unachozungumza isipokuwa maparachichi kuna varieties nyingi sana zaidi ya 60 lakini ninayozungumzia hapa tagert yake si soko la ndani najaribu kupata idea tofauti tofauti hapa we nye kujua zaidi hasa aina hii ya parachichi aina ya HASS aina hii huwa haliuzwi kwenye soko la ndani kwasababu ya uhimilivu wa kukaa muda mrefu bila kuivaView attachment 916425
Mbeya kuna mzungu ni mnunuzi, yupo jiran na Rungwe Sec.


Kama ni Mbeya wala usihofu we lima tu, huyu mzungu kalima eneo kubwa kweli
 
Umeharibu kila kitu kuandika huu uzi kwa sababu kuna li mtu likisikia lazima lije kuharibu lenyewe linataka kila mtu awe masikini.Litakuja na misela yake ya kijinga ili liharibu.
Acha lije liongee vitu negative, maana maneno yangekuwaga bunduki yangeshutigi Kama risasi, tukiendaga mbele haturudigi nyuma kama samaki.
 
Parachichi dhababu ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom