Kabisa! Information is potential power!Information ni kitu kikubwa sana asee
Kweli hawa wahuni. Kule Rungwe-Mbeya kuna mzimbabwe alikuja na kilimo cha maparachichi haya wanafanyia budding halafu yanazaa muda mfupi. Alinunua na kukodisha heka nyingi. Yeye biashara yake ni ku-export hayo matunda, akawashawishi wanakijiji kwamba wapande hizo miche yake ya muda mfupi na atanunua matunda kwa sh. 2,500 kwa kilo. Akagawa miche bure baadae akauza kwa bei nafuu sana. Wanakijiji wakafyeka kahawa na chai zao wakapanda miparachichi ya muda mfupi. Jamaa muhuni kama hao jamaa wa sungura.. baada ya kuzaa bei ya maparachichi kwa kilo anasema Tzs 400 - 500 inategemea na ubora. Wananchi hawana hamu na huyo kaburu. Hata ukipeleka kama linamchubuko hachukui anakagua kama nini. Wajanja sana hawa watuMaskini....pole yake.....alichukua wapi Sungura?.....nashangaa wanakuuzia Sungura 85,000 ila wakizaa wao wanamnunua 24,000 mabanda ununue kwao, emergency kit, vyakula etc. Wahuni tu hawa!!!.....
Hili jamaa senge saana! Kumwita mwenzie mpumbavu kisa kataka kujua some info? Lenyewe ndio pumbavuKosa lake ni nini labda?
Ohooo.. kumbe wewe ndio hujui. Muombe msamaha uliemtusi.Sehemu gani mchaichai unasindikwa au kuuzwa kibiashara, wapi ambapo unaweza kupita usione mchaichai umepandwa kwenye fensi na kwenye makopo!
Asante, mi niliwapigia simu kuuliza a b c lakini nikaona kuwa wanayoyaongea ni tofauti na hali halisi kwenye kilimo cha mchaichai so nikaona niachane nao..waulizeni kwanza walowafuata kijani kbichi pale morogoro wakafuga Sungura, mende na wakalima mchaichai waliishia waapi. Maisha hayako simple kama mnavyofikiria, ukisikia jambo usikurupuke kama digi digi mjini. inauma saana kuona watu ambao hawana utaalamu wowote wa kilimo wakiwahadaaa wakulima mchana kweupee.
Nilimshaur saana dadaangu kuhusu hizi fursa lakini alikuwa mbishi saana saana. mmatokeo yaake anataka kwenda mahakamani.
Wito wangu fanyia utafit fursa yeyote utafitii wa kutoshaa kabisaa kabisaa teena uufanye wewe mwenyewe na sio kuulizia kwa watu
niko dsmWewe uko wapi kwani?
Nadhani kauliza kama kinalipa ndio aanze kulima....kama nimemuelewa Mleta uzi.nimeuliza umelima kiasi gani maana kama ni mwingi soko lake liko zanzibar wanakokamua mafuta ya mchai chai
Nadhani kauliza kama kinalipa ndio aanze kulima....kama nimemuelewa Mleta uzi.