Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Hebu tutoe tongotongo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji wa milion moja nanusu unaweza kulima hekari mbili ambazo ukipanda kitaalam unakuwa na miche 4400 kila mche ukizaa mtoto mmoja inamaana unakuwa namatikiti 8800 kila tikiti ukiuza kwa bei ya sh 1000 unakuwa na sh 8.800.000 na ukiuza kwa 2000 unakuwa na sh17.600.000 huo ni mfano mwepesi nanikwa muda wa siku 70 tu

Ila changamoto ya maeneo mengi hapa nchini watu wanashindwa kulima kwa sababu ya kukosa maeneo yenye maji ya uhakika maana bila maji mengi hata kama unamtaji wa milioni miamoja utachemka

Haya mahesabu practically yanafanya kazi? Sijawahi lima matikiti Nataka nipande kama nusu eka ili nijifunze kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom