Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Sasa na wewe ulipoweka miche 10,000/= mimi nikabaki nashangaa zimekuwa fedha? Maana hiyo alama inatumika kuonesha fedha.
Kwa Shinyanga mdogo wangu mbona itakuwa taabu kidogo! Maana kilimo hicho kinahitaji maji mengi sijui kama uko kwenye source isiyokauka maana SHY ilivyo maji ni mbinde ukijidai kutumia ya SHUWASA/KASHIWASA itakula kwako vinginevyo labda kama unfanikiwa kuwachakachua!! Kwani shamba lako liko wapi Mkuu hapo SHY?
Kwa habari ya soko mbona SHY kwenyewe soko lipo? Maana tunauziwa tikiti 1 kuanzia Shilingi 1,000/= hadi 1,500/=