monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,307
Mkuu toa maelezo sahihi ili tukuelewe, kwa ufahamu wangu jiji la Mbeya Hakuna wilaya inayoitwa Rudewa.
Am not good kwa hayo mambo ya wilaya bt sehem ni rudewamkuu toa maelezo sahihi ili tukuelewe, kwa ufahamu wangu jiji la Mbeya Hakuna wilaya inayoitwa Rudewa
Ludewa ni wilaya ipo mkoa wa njombe au ulimaanisha RujewaAm not good kwa hayo mambo ya wilaya bt sehem ni rudewa
Simiyu???????????Halafu mia nane hayo sio maharagrKunamtu yupo simiyu anauza kilo 1 mia 8 wewe 2500
Haiji
HahaSimiyu???????????Halafu mia nane hayo sio maharagr
Mkuu lumia nimeku pm, naomba tuzungumze
Mkuu ipo njombe hyo wilaya ya RudewaAm not good kwa hayo mambo ya wilaya bt sehem ni rudewa
Ni kweli mtoa mada hapo kakosea.mkuu toa maelezo sahihi ili tukuelewe, kwa ufahamu wangu jiji la Mbeya Hakuna wilaya inayoitwa Rudewa
Sawa mkuuNaona umeanzisha uzi mpya wa maharage baada ya ule wa kwanza (jana)kudoda,sasa jitahidiuwe na majibu mazuri maana ule uzi wa kwanza "umeunyea" sana!!!but hongera kwa kazi nzuri ila usitangaze biashara kwa debe,tangaza kwa package ya 100kgs au kwa kg mkuu!;
RujewaAm not good kwa hayo mambo ya wilaya bt sehem ni rudewa
SmallMaharagwe= Maharage
Turudi kwenye mada husika, unataka kulima small au large scale?
Rujewa ni makao makuu ya wilaya ya Mbalali, na Ludewa ni wilaya iliyopo mkoa wa NjombeKwa uzoefu wangu Rudewa sio Mbeya jiji ni wilaya ya Mbarali, kuwa makin
Kuhusu soko la maharage ngoja wadau wengine waje.