Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 374
- 629
Du ww ulilima wapi hyo ?Binafsi nimeambulia debe 3 heka moja
Debe tatu?Binafsi nimeambulia debe 3 heka moja
NdiyoDu ww ulilima wapi hyo ?
ManyaraDu ww ulilima wapi hyo ?
Pole unalimia wapi?maombi yenu jamani mvua zimekata hali si nzuri sana!
Huwa nawashangaa sana mnao commit hela Mikoa ya Kati,Kanda ya Ziwa kutoa Kagera na Kaskazini kwenye Kilimo Cha kutegemea mvua wakati uhakika wa kupata ni 50%Binafsi nimeambulia debe 3 heka moja
Bado unayo ?Nina tani 30 za maharage zipo karagwe kagera. wanaonunua ikifika wa nane 2023 nitafute.
safi sanaNina tani 30 za maharage zipo karagwe kagera. wanaonunua ikifika wa nane 2023 nitafute.
🙏🙏🙏Mtoa maada alitaka kujua yanaitweje kwa kiingereza? Ni lablab beans . ukitaka na botanical name niulize
Namba naweza pataAngalia PM yako mkuu Kisima.
Hiyo app inaitwaje mkuu?HABARI wakuu
SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni : (i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu (iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu