Wajuzi watufahamishe ni mbegu gani yenye soko hapoWeka picha yake ili tuanze kuyatafuta. Naweka aina nilizo nazo ili mtujuze ni ipi kati ya hizo:
View attachment 393888View attachment 393889
Kilimi cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa bustani gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero.
Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako bila dalali kisha ww ndo una decide whom to trade with!
ntarudi hapa na abc za kilimo cha zao hili mkombozi!
Naomba namba yako kiongozi
Mkuu kisima nataka jitupia tena ( awamu ya kwanza haija nilipa ki hvyo) kwenye maharage . ameti vip..kwa miez hii bado ni mizur kulima tena maharage.. Au nisubir mwakan!!
Naomba nikutembelee kama unalimia Morogoro boss
Una maanisha gunia la kilo mia ni elfu 80!?Kunamtu yupo simiyu anauza kilo 1 mia 8 wewe 2500
Haiji
Aina gan mkuuHabari ndugu..kama mlivoona hapo mi napatkana Dar nimefanya kilimo cha maharage wilaya ya Rudewa jijini mbeya nahitaji mnisaidie kupata soko na kama itawezekana niwe mzabuni napenda kufanya biashara na shule binafsi na kiukweli ndo nmeanza hii biashara na ntauza 45000 per debe..naombeni support na my # 0655822872
Ni rose kokoAina gan mkuu