Hao wanafiki wanaojiona Kilimanjaro ni yao wakina mama Nsilo Swai mama mtu mzima, wakina Innocent Macha na Mareale wao kwanza waende kumfukuza mwizi wao wa kiwanja cha Uhuru Park. CCM wezi wakubwa walishalamba hapo eti wanadai mwekezaji apewe hati akakopee? hivi wanaleta laana za wapi? walishaona mchaga anatoa ardhi kwa mgeni tena kwa kiburi eti akakopee kama si madiwani wa Chadema leo hii sio tukingekua hakieleweki kama ilivyo hivi sana bali kungeshawekwa uzio maskini ardhi yetu. Cha kushangaza ukisoma hiyo list ya CCM wakina kinabo sijui wakurugenzi sijui mwanasheria crap wa kuiba wa wilaya ni wachaga, tena wameacha mila wanaleta upumbavu wao kwenye ardhi ya wananchi. Tatu uliona wapi harambee ya moshi ifanyike dar si matusi hayo? hao ni washikaji wake kikwete wana mtandao tunawajua sasa hizo 200m kwani agrey na inno walishindwa kuzichanga mpaka waweke harambee? Pili labda wangeiita harambee ya wachaga kama ni kilimanjaro inamakabila mengi wako wapi wakina cleopa Msuya, wakina Kisumo pamoja na siku hizi kuwa tarumbeta la mafisadi baada ya kupewa ulaji vodacom, wakina Senkoro, wavungu vaathu vosa ava tuvamanje vaho hiyo? hatujamuona Jumanne Maghembe kachanga ngapi? wakina Mramba, Augustino Lyatonga Mrema mchovu angetoa katika zile milioni alizosema anazo benki kuendelea kununua ubunge. This was a scam, poleni wanafiki na zaidi pole huyo kikwete yaani ni kweli hizo hela achana na makamba hata hao wanafiki wake Macha na Agrey wangeweza kuchangisha harambee hiyo, utadhani harambee ya kanisani? KIKWETE fanya kazi za taifa acha hicho cheap pay backs za marafiki wajinga ubora ungekua unamarafiki wenye akili, sasa ona makamba anakwenda igunga kufanya nini? inamaana CCM bila Rostam Aziz haiwezekani? mbona mnatukana hata wakunga walioatangulia kabla yenu? kumbuka kabla ya CCM kulikua na TANU na wazazi wetu walihenyeka ndio mkapata CCM, msitutie vidole machoni kudai hiki ni chenu na sisi tukidai chetu kutokana na jasho la wazazi wetu mtapata pakusimamia?