Kilimanjaro yamsusia Kikwete ama?

Kilimanjaro yamsusia Kikwete ama?

Hivi hili la kuchangia chama sheria ya rushwa inasemaje naiona nayo ni kama chama kinapokea rushwa kwa wanachama wake, hivi kwa ukata huu mtu achangie kukipa chama mamilioni kweli hataangaliwa kwa jicho la huruma, pia hii ni janja walitaka kuwajua watu wao wa kweli ni wapi, jamani msichange hata thumni kwa ccm, wametunyonya kiasi cha kutosha kodi za majengo na viwanja za mipira kama kirumba,mkwakwani,shehe amri abeid, kambarage, nk zinaenda wapi?
 
Bila shaka una maananinsha T-shirts za kijani, labda na kapelo tu!!!! Huwa hawatoi suruali. Ila nasikia safari hii watatoa misuri!
Hizo fedha wapeleke pale hospitali ya Mawenzi wakasidie kuipania wanachangisha za nini tena wakati tayari wana bilioni tano
 
Back
Top Bottom