Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Nani ajenge chuo kikuu hapo katerero, by the way sisi Iringa tumeanza kumilik vyuo vikuu tangu miaka ya 1990's. Ndio mkoa pekee unaweza kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD na ukapata kazi hapohapo, kemondo wasomi wenu wote wamesoma nje ya mkoa na wanatumika nje ya mkoa ndo mana mmedoda kama Lindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mwambie aje moshi vyuo vikuu na vya Kati ni kama utitiri
Ushirika
Mwenge catholique universitaire
Kcmco
Stemuco
St Joseph
Mweka wildlife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri kufukua kaburi kuliko nyie wahaya mliokuwa mnakatana makoromeo kwa Imani za kishirikina
Huko kagera hadi Léo hii karibu kila familia inayo mganga wake ushirikina Ni nje nje hasa muleba ukibisha nitazidi kumwaga data Kuna watu washirikina kuliko wahaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba alikuwa anatafuta utajiri.

We unaongea vitu visivyokuwepo.

Screenshot_20200106-141342.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri kufukua kaburi kuliko nyie wahaya mliokuwa mnakatana makoromeo kwa Imani za kishirikina
Huko kagera hadi Léo hii karibu kila familia inayo mganga wake ushirikina Ni nje nje hasa muleba ukibisha nitazidi kumwaga data Kuna watu washirikina kuliko wahaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi wahaya wanavyopendana Hadi Raha .
Yaan mafanikio ya muhaya mmoja ni mafanikio ya kijiji chote? mama wa kihaya mtoto wake kamaliza form four kaalika mashost wote wa kihaya na sare juu pamoja na kamati.

Yangekuwa makabila mengine kwenye elimu hakuna sapport sasa umbea wote na makamati yote kwenye harusi za mikeka[emoji23][emoji23]

Mimi nilipomaliza six ilikuja suprise ya coaster iliyojaa ndugu na marafiki wote wa familia mpaka nikaogopa.
Watz watasema sifa lakin ukiiangalia vzr inaonyesha jinsi watu wanavyovalue elimu
tapatalk_1578837098852.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya vijijini mi ntayajulia wapi, vijijini kwa mila zetu ni sehem ya makaburi na mashamba, mijengo ipo town ya kutisha

Sa hv tunajenga stand ya 3 ya kisasa kwa ajil ya mabas ya vijijini huku nyie wenzetu stand yenu ni vifusi vitupu
Hebu leta vijijin vya iringa nami nilete vya bukoba tulinganishe kama pamedoda[emoji23][emoji23]

Hebu leta walau kijiji kimoja Tu cha iringa[emoji1787][emoji1787]

Endeleen kujenga vyuo vikuu wahaya tutavijaza na kuzidi kuwatupilia mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona ndugu wamejazana kwny graduation ya form 6 ujue kwny familia yenu we ndo wa kwanza kutoboa had form 6, ndugu zako wengine wameishia kuzalishwa nyumban na wengine wanauza senene muleba
Kwa jinsi wahaya wanavyopendana Hadi Raha .
Yaan mafanikio ya muhaya mmoja ni mafanikio ya kijiji chote? mama wa kihaya mtoto wake kamaliza form four kaalika mashost wote wa kihaya na sare juu pamoja na kamati.

Yangekuwa makabila mengine kwenye elimu hakuna sapport sasa umbea wote na makamati yote kwenye harusi za mikeka[emoji23][emoji23]

Mimi nilipomaliza six ilikuja suprise ya coaster iliyojaa ndugu na marafiki wote wa familia mpaka nikaogopa.
Watz watasema sifa lakin ukiiangalia vzr inaonyesha jinsi watu wanavyovalue elimuView attachment 1321042

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salaam
Kama mada inavyoeleza,mkoa wa kilimanjaro umeendelea kuwa kinara wa elimu nchini,hii Ni kwa mujibu wa matokeo ya mitihani mbalimbali
Takribani kila mwaka mkoa huu unashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mitihani ya kidato Cha nne
Katika mwaka huu , kilimanjaro imekuwa ktk nafasi zifuatazo katika mitihani mbalimbali
1:KIDATO CHA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya KWANZA kitaifa
2:KIDATO CHA PILI: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
3DARASA LA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
Hongereni viongozi na wananchi wa kilimanjaro kwa kuendeleza mizizi ta elimu iliyoasisiwa mkoani hapo tangu enzi na enzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidato cha pili wa,kwanza na wa pili ni mkoa gani? Darasa la nne wa kwanza na wa pili ni mkoa gani?
 
Ukiona ndugu wamejazana kwny graduation ya form 6 ujue kwny familia yenu we ndo wa kwanza kutoboa had form 6, ndugu zako wengine wameishia kuzalishwa nyumban na wengine wanauza senene muleba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya vijijini mi ntayajulia wapi, vijijini kwa mila zetu ni sehem ya makaburi na mashamba, mijengo ipo town ya kutisha

Sa hv tunajenga stand ya 3 ya kisasa kwa ajil ya mabas ya vijijini huku nyie wenzetu stand yenu ni vifusi vitupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watz bwana na kuangalia negativity !!![emoji23][emoji23]

Anyway incomplex inferiority inakusumbua

Amkeniiiiii amkeniiiiiiiii

Katerero ametoa boko huku ha ha haaaa

Katerero navyosema ulikimbia shule nina uhakika inaitwa INFERIORITY COMPLEX sio huo mdawa wa kienyeji INCOMPLEX INFERIORITY uloandika ww muuza senene wa MULEBA

HA HAHAHAAAAAA.

Katerero rudi shule, unasifia maprof wa kihaya kumbe ww uliishia form 2.

Hiv wew mbona unajipendekeza Kwa wahaya na wachaga ?

Unataka kuolewa?

Yaan upo Tu haueleweki .

Yan kimsingi utakuwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katerero unaanza kutaka msaada kutoka kwa wachaga baada ya kupigwa ngumi tupu za uso kutoka kwa MNYALU mwenye akili

Amkeniiii amkeniiii

Katerero katoa boko huku, katerero tuambie maana ya INCOMPLEX INFERIORITY ni nini?

Katerero unajisifia matokeo ya watoto huku ww mwenyewe hujiwezi

Wewe jirani unawapenda wana iringa hadi ushakuwa muhehe. By the way kusini bado sana namaanisha kwa wazawa
Mimi sio mtu wa jirani,maoni yangu ya jukwaa la Kenya yasikuchanganye,am pure kinga,lazima nipende kabila langu na tunakuja vizuri licha ya environmental hardships za milimani kule
Mara nyingi napenda ku concur na Kenyans coz wako hanesty kwenye maoni yao lakini mbongo hawezi kubali ukweli hata kama uko wazi typical tabia za kinafiki
 
Katerero unaanza kutaka msaada kutoka kwa wachaga baada ya kupigwa ngumi tupu za uso kutoka kwa MNYALU mwenye akili

Amkeniiii amkeniiii

Katerero katoa boko huku, katerero tuambie maana ya INCOMPLEX INFERIORITY ni nini?

Katerero unajisifia matokeo ya watoto huku ww mwenyewe hujiwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wahaya misifa tu, hujui?

Mtu anashindwa kuandika Inferiority complex.

Ataweza kuandika, Jargon terms huyu?

Mutatis Mutandis, Schizophrenia, Alzheimer's, Rosicrucianism, Epicureanism, Eccentricity, Acute Macular Retinal Degeneration, Liver Cirrhosis, Hydrocephalus, Hydrocele, ?

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Wahaya siku zote mnatia huruma, kwanini lakini?[emoji28][emoji28]

Mkuu ebu muache jamaa, atajiua bure hapa, tupate Felony, First Degree murder case.

Najua hajaelewa kitu huyu instanbul

Nasubiri picha ya ISM hapa .

Nyie ndo wale watu Magu aliokuwa anasema .

You know you know [emoji1787][emoji1787] huku kabana pua yaan hata uingereza hajafika[emoji23][emoji23].

Sasa kujua kingereza ni sifa siku hiz.

Bora hata mngesema kilatini walau . Maana itawasaidia katika biology na science.

Kweli nyie ni washamba kabisa yaan mnanisifia kujua kingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ndo maana walatini wanasema Nemo dat quod non habet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katerero kakimbilia google kuokoteza maneno ya kilatin

HA HA HA HA HAAAAAAAA

MAJIRANIIIIIIIIIIII!!!!!!

Kumbe huyu mfia dini wa katerero alikimbia umande, anaishia kupiga picha tembe za majiran wake

KATERERO rudi shule kwan muda bado unaruhusu

Back
Top Bottom