Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Katerero hajawah kuisikia hiyo cambridge curriculum, msamehe tu huyu mjasiriamali wa mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wahaya wanatia aibu sana.

Mtu anasifia mabus ya njano mdudu gani sijui kemobos wakati kuna shule ada ni kuanzia 36 millions huko moshi.

Tembea KAGERA nzima ukute shule ada ni 36 millions, natambaa kutoka magogoni hadi mtambaswala.

Mtu hajui Cambridge curriculum.[emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa inatumia mfumo wa necta? Hujui maana ya international? Wewe myoza nshamba Sana
Hivi kagera na misifa yenu mmeshindwa kabisa kujenga university hadi mnatumia vibanda(jococu)? Hovyo Sana nyie
Njoon kilimanjaro vyuo kila kona hadi kero

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wew kuna chuo kikuu kinajengwa nje kidogo ya mji wa bukoba.

Hii ndio michoro yake
Screenshot_20200112-111347.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wahaya wanatia aibu sana.

Mtu anasifia mabus ya njano mdudu gani sijui kemobos wakati kuna shule ada ni kuanzia 36 millions huko moshi.

Tembea KAGERA nzima ukute shule ada ni 36 millions, natambaa kutoka magogoni hadi mtambaswala.

Mtu hajui Cambridge curriculum.[emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuomba ulete picha ya hiyo shule na mabus yake tulinganishe.


Huku kagera shule za kata tena za vijijin huko ndan ni kawaida wanafunzi wote kufaulu.

Hebu tazama kanyigo secondary school huko misenyi
tapatalk_1578752394535.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu WATAMBASHI sana.

Dada zao wapo Mwananyamala kufanya biashara haramu na mpaka kunajulikana kwa wahaya kadhalika buguruni huko.[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoon tuwafunze sifa nyie walevi wa mbege.

Huyu mtoto alifanyiwa sherehe ya form four kama harusi lakin hajawaangusha kapata one ya 13.


Yaan kagera kwenye elimu mbona kila mtu atakusaport yaan hapo mama kaita mashost wote wakijijin na kushona Sare juu kumpongeza mtoto wao.
Hiv huyu mtoto unategemea atafeli.



Watz wengine sasa full kurogana na vijembe na wivu juu Kwa mtu aliyesoma.ndo kama nyie wachaga hampendi wahaya wawe hapo walipo katika elimu
Screenshot_20200112-152230.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu WATAMBASHI sana.

Dada zao wapo Mwananyamala kufanya biashara haramu na mpaka kunajulikana kwa wahaya kadhalika buguruni huko.[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie vip mlishaacha kukeketana huko[emoji23].Tz nzima hakuna kabila lenye wasomi wengi wa kike kama wahaya tz halipo.huamini
Shule kama hekima girls, Rugambwa, bukoba sec,Josiah, zipo kitambo bukoba kusomesha wasichana
.

Vip hii habari uliisiia?
Screenshot_20200106-141342.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoon tuwafunze sifa nyie walevi wa mbege.

Huyu mtoto alifanyiwa sherehe ya form four kama harusi lakin hajawaangusha kapata one ya 13.


Yaan kagera kwenye elimu mbona kila mtu atakusaport yaan hapo mama kaita mashost wote wakijijin na kushona Sare juu kumpongeza mtoto wao.
Hiv huyu mtoto unategemea atafeli.



Watz wengine sasa full kurogana na vijembe na wivu juu Kwa mtu aliyesoma.ndo kama nyie wachaga hampendi wahaya wawe hapo walipo katika elimuView attachment 1320796

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya mnaependa sifa wakati wahasimu wenu wanawachapa kila idara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wahaya wanatia aibu sana.

Mtu anasifia mabus ya njano mdudu gani sijui kemobos wakati kuna shule ada ni kuanzia 36 millions huko moshi.

Tembea KAGERA nzima ukute shule ada ni 36 millions, natambaa kutoka magogoni hadi mtambaswala.

Mtu hajui Cambridge curriculum.[emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ajenge chuo kikuu hapo katerero, by the way sisi Iringa tumeanza kumilik vyuo vikuu tangu miaka ya 1990's. Ndio mkoa pekee unaweza kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD na ukapata kazi hapohapo, kemondo wasomi wenu wote wamesoma nje ya mkoa na wanatumika nje ya mkoa ndo mana mmedoda kama Lindi
Tulia wew kuna chuo kikuu kinajengwa nje kidogo ya mji wa bukoba.

Hii ndio michoro yakeView attachment 1320784

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ajenge chuo kikuu hapo katerero, by the way sisi Iringa tumeanza kumilik vyuo vikuu tangu miaka ya 1990's. Ndio mkoa pekee unaweza kusoma kuanzia vidudu mpaka PhD na ukapata kazi hapohapo, kemondo wasomi wenu wote wamesoma nje ya mkoa na wanatumika nje ya mkoa ndo mana mmedoda kama Lindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu leta vijijin vya iringa nami nilete vya bukoba tulinganishe kama pamedoda[emoji23][emoji23]

Hebu leta walau kijiji kimoja Tu cha iringa[emoji1787][emoji1787]



Endeleen kujenga vyuo vikuu wahaya tutavijaza na kuzidi kuwatupilia mbali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom