FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Apr 15, 2012 #441 jamani ilipofika saa saba nilipitiwa na usingizi Nipeni news kama Ally Kiba kapata tuzoo yoyote nifurahi
jamani ilipofika saa saba nilipitiwa na usingizi Nipeni news kama Ally Kiba kapata tuzoo yoyote nifurahi
Rajabu kiama Member Joined Dec 5, 2011 Posts 7 Reaction score 0 Apr 15, 2012 #442 FirstLady1 said: jamani ilipofika saa saba nilipitiwa na usingizi Nipeni news kama Ally Kiba kapata tuzoo yoyote nifurahi Click to expand... acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu
FirstLady1 said: jamani ilipofika saa saba nilipitiwa na usingizi Nipeni news kama Ally Kiba kapata tuzoo yoyote nifurahi Click to expand... acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Apr 15, 2012 #443 Rajabu kiama said: acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu Click to expand... hahah saa saba ni mapema tena nilijitahidi sana kuvumilia mpaka saa saba ,, Kaambulia ngapi jamani...? maana dushelele inawabamba wengi.
Rajabu kiama said: acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu Click to expand... hahah saa saba ni mapema tena nilijitahidi sana kuvumilia mpaka saa saba ,, Kaambulia ngapi jamani...? maana dushelele inawabamba wengi.
Rajabu kiama Member Joined Dec 5, 2011 Posts 7 Reaction score 0 Apr 15, 2012 #444 Jamani Diamond nasikia kachukua tatu tena ni kweli