Don't take it personal jamani mbona sie tunaongelea kawaida tuu,sasa mtu haruhusiwi kucheka???kama una kaka ukimpeleka akatoe posa itakua vizuri zaidi maana vifaa vinalipa kwakweli.
Don't take it personal jamani mbona sie tunaongelea kawaida tuu,sasa mtu haruhusiwi kucheka???kama una kaka ukimpeleka akatoe posa itakua vizuri zaidi maana vifaa vinalipa kwakweli.
Hahah...hujui vitu vya Congo vilivyo durable halafu ni vya reasonable price...naona shemeji Gadner anajidai anampendaaa Jide wakati jide kila siku anampiga madongo kwenye nyimbo zake!!
Basi labda huko ni ajabu lakini majuu kwenye mi awards ya kumwaga watu hualika hadi bibi na babu zao kwenye steji kama wakishinda tuzo. Tena huwa wanawaita kabisa...flani na flani njoo...njoooni.
Kwangu alichofanya Bi. Kopa nishakiona mara nyingi sana....labda ni kwa vile tu kafanya bi. Kopa. Lakini kama angefanya Volleta Wallace wala sidhani kama ingechekesha....ingeonekana ni kawaida tu.