Kilimanjaro Music Awards 2012

Uwiiiiii mbavu zanguuuuu naona Mnyama kaja juu,angeona mimi nasema kesho posa ingepelekwa

mnyama yamemshda amtafute Millard,clouds kesho ampe #,akishushuliwa na jf achange id
 
hahhaaa wee Yummy Khadija aliwaambia wanae wapande jukwaani?...lol
 
with no strings attachd,..ctaki ata pete yake me anipe atm zake2 na pin lol

hehehe akikupa atm card yake ujue na wimbo kasha kutungia! Ukimtosa tu anau release. Halaf utashangaa wimbo una hit balaa.. Mtu unaweza kutamani uhame nchi. Lol
 
teh yani kama mtu hana tai kipepeo basi ana suti ya mdogo wake.. Ila leo wamepamba kwa zilipendwa imekua ya kistaarab kdogo
Kumbe na wewe ni wa zamani!!
Hutaki yo yo yo..piga keleleee..
Bongo fleva huwa zinanichekesha sana!
Papa rejao anamiliki kiwanda cha tai pale mtaa wa Congo.
 
hehehe akikupa atm card yake ujue na wimbo kasha kutungia! Ukimtosa tu anau release. Halaf utashangaa wimbo una hit balaa.. Mtu unaweza kutamani uhame nchi. Lol

mweeh unantisha duh ngoja nihamie kwa jose mara toto ya mujini,atanipeleka lubumbashi! Lol
 
hahhaaa wee Yummy Khadija aliwaambia wanae wapande jukwaani?...lol

Mbona unacheka? Kwani ni ajabu Bi. Khadija kuwaambia wanae wapande jukwaani? Mbona ni mambo ya kawaida sana hayo kwenye haya mambo ya tuzo....
 
50 50 dear bt well done vijana
 
Kumbe na wewe ni wa zamani!!
Hutaki yo yo yo..piga keleleee..
Bongo fleva huwa zinanichekesha sana!
Papa rejao anamiliki kiwanda cha tai pale mtaa wa Congo.

kumbe mtaa wa kongo,akha ctak,nkajua kongo kbsa,motema na ngai!
Huyu jd kajfcha,mumewe ndo kaja na bukta lake..duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…