:tape:Inashangaza sana mikoa mingine ni lazima uwe na dish ndo uone tv zingine lakini kura za wasanii Mnaomba nchi nzima ila kuonesha mashindano mnachaguatv inayoonekana kwene madish na mikoa 6 kwa WATU antena michache mnaacha kupeleka katika tv zenye kuonekana nchi nzima jamani tbl someni ripot ya steadman muone ukweli mnataka kuuza hadi kijijini au mnataka kuuza mjini tu?