King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,780 Apr 14, 2012 #201 Loy MX said: kawahi kuimba na Akili ila nadhani anaye mng'oa ni producer wake. Click to expand... Yeah itakuwa
Loy MX said: kawahi kuimba na Akili ila nadhani anaye mng'oa ni producer wake. Click to expand... Yeah itakuwa
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 14, 2012 #202 Mmh, wewe huyu? Ingekuwa pati ya kijani na njano ningekuelewa. Rejao said: Mi ndiye mwalimu wake!! hapa namfundisha cha kwenda kuongea baada ya hawa akina dada kumaliza kupiga kelele Click to expand...
Mmh, wewe huyu? Ingekuwa pati ya kijani na njano ningekuelewa. Rejao said: Mi ndiye mwalimu wake!! hapa namfundisha cha kwenda kuongea baada ya hawa akina dada kumaliza kupiga kelele Click to expand...
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Apr 14, 2012 #203 Muuza Sura said: waambie wanaoijifanya masela wa hip hop!huyu nigga ana upeo tatizo muonekano tu ndo hana! Click to expand... Mmmh muonekano wa Roma una tatizo gani?
Muuza Sura said: waambie wanaoijifanya masela wa hip hop!huyu nigga ana upeo tatizo muonekano tu ndo hana! Click to expand... Mmmh muonekano wa Roma una tatizo gani?
M Mnyama Hatari JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 335 Reaction score 82 Apr 14, 2012 #204 Yaani hakuna Dogo Janja?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 14, 2012 #205 Ha ha ha ha, naye yeye hajui usafi kwapa? MaBiG!!! King Kong III said: Una utani na muke ya muzungu,mutu ya dubai lol Click to expand...
Ha ha ha ha, naye yeye hajui usafi kwapa? MaBiG!!! King Kong III said: Una utani na muke ya muzungu,mutu ya dubai lol Click to expand...
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Apr 14, 2012 #206 yaani hao waliotoka kuimba sasa hivi sijawaelewa ni nani wao? Hovyooo kabisa
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Apr 14, 2012 #207 Ndo tatzo la chombo ki1 kushikiria kila kitu,. Yan had wanashindwa kufanya vitu vya maana,. Yan wamejaza watu wao had imekuwa ka kipaimara
Ndo tatzo la chombo ki1 kushikiria kila kitu,. Yan had wanashindwa kufanya vitu vya maana,. Yan wamejaza watu wao had imekuwa ka kipaimara
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Apr 14, 2012 #208 bht said: Mmmh muonekano wa Roma una tatizo gani? Click to expand... muonekano wa kienyeji!hana swagga za kinyamwezi.......
bht said: Mmmh muonekano wa Roma una tatizo gani? Click to expand... muonekano wa kienyeji!hana swagga za kinyamwezi.......
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Apr 14, 2012 #209 King Majuto naye mkurugenzi? Kweli ukurugenzi umevamiwa. Hivi na mie ni mkurugenzi wa dada hapa home?? He he konnie naye MD
King Majuto naye mkurugenzi? Kweli ukurugenzi umevamiwa. Hivi na mie ni mkurugenzi wa dada hapa home?? He he konnie naye MD
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,780 Apr 14, 2012 #210 Upcoming artist(msanii anaechipukia),mshindi ni??? Mzee majuto na sharomilionea wamtangaza Ommy dimplez
Upcoming artist(msanii anaechipukia),mshindi ni??? Mzee majuto na sharomilionea wamtangaza Ommy dimplez
Swts JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,062 Reaction score 1,296 Apr 14, 2012 #211 Loy MX said: kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya. Click to expand... yan kwa kweli ii ni music murder case.saida afungue kesi.
Loy MX said: kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya. Click to expand... yan kwa kweli ii ni music murder case.saida afungue kesi.
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Apr 14, 2012 #212 Loy MX said: kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya. Click to expand... Nilijua nikianza kusema nitaonekana namna gani vipi...maana kwa kuanzia kivazi chake cha kwanza sikukielewa
Loy MX said: kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya. Click to expand... Nilijua nikianza kusema nitaonekana namna gani vipi...maana kwa kuanzia kivazi chake cha kwanza sikukielewa
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 14, 2012 #213 omi dimpoz kwa dimpoz ninoma..
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,780 Apr 14, 2012 #214 Muuza Sura said: muonekano wa kienyeji!hana swagga za kinyamwezi....... Click to expand... Video zake utafikiri anachukua na simu za techo!
Muuza Sura said: muonekano wa kienyeji!hana swagga za kinyamwezi....... Click to expand... Video zake utafikiri anachukua na simu za techo!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 14, 2012 #215 kumbe mziki ni wa mchina naona mic zinabuma tu..
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Apr 14, 2012 #216 Kongosho said: Nimemuona, nilichopenda kwake ni anajua usafi wa kwapa. Click to expand... Heheheee... Sauti kelele tupu
Kongosho said: Nimemuona, nilichopenda kwake ni anajua usafi wa kwapa. Click to expand... Heheheee... Sauti kelele tupu
M Mnyama Hatari JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 335 Reaction score 82 Apr 14, 2012 #217 Hahahahaaaa hiyo spichi ya Ommy Dimpoz full cliche!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,086 Apr 14, 2012 #218 Kongosho said: Mmh, wewe huyu? Ingekuwa pati ya kijani na njano ningekuelewa. Click to expand... hivi King Majuto na Mpoki nani zaidi?? your opinion pls...politics tuziache kwa sasa!!
Kongosho said: Mmh, wewe huyu? Ingekuwa pati ya kijani na njano ningekuelewa. Click to expand... hivi King Majuto na Mpoki nani zaidi?? your opinion pls...politics tuziache kwa sasa!!
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Apr 14, 2012 #219 Sharo Millionaire. Kijana ana kipaji.
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Apr 14, 2012 #220 bht said: yaani hao waliotoka kuimba sasa hivi sijawaelewa ni nani wao? Hovyooo kabisa Click to expand... Kichefuchefuuuuuu na huyo Queen D amechemshaaaa
bht said: yaani hao waliotoka kuimba sasa hivi sijawaelewa ni nani wao? Hovyooo kabisa Click to expand... Kichefuchefuuuuuu na huyo Queen D amechemshaaaa