Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,237
- 6,610
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujawahi kuvamiwa wewe.akili za bashiteKwahiyo kama amekamatwa sisi inatusaidia nini ,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisaKamanda mwenyewe kama vile anamwogopa
Kukamatwa muhalifu kwako si lolote?..hongera.Kwahiyo kama amekamatwa sisi inatusaidia nini ,,,
Baraka Malisa ni mtu aliekua anatesa sana wananchi wa Kilimanjaro kama Scorpion, Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba amekamatwa na watu wote waliojeruhiwa na Baraka Malisa waende Kituo cha Polisi Majengo, kama anavyosikika hapo chini.