Likandawido
Member
- Feb 9, 2017
- 14
- 6
Hi krip ni Comedy au?
yaani nimechekaah!!! huyo malisa ni kiboko aisee...sio kwa kumtia hofu kamandaNimecheka sana...[emoji23]
Anaongea kama huyo Malisa atapelekewa video aione .
Ww flWatukamatie na huyu Bashite,anatesa sana eatumishi wa umma
Mkuu huyo polisi ana kadi yenu ya ccm....Hahaha Huyu police analingine na huyu mtu du!!
Au kamgegedea hahaha sio kwa kupanik huko
Baraka Malisa ni mtu aliekua anatesa sana wananchi wa Kilimanjaro kama Scorpion, Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba amekamatwa na watu wote waliojeruhiwa na Baraka Malisa waende Kituo cha Polisi Majengo, kama anavyosikika hapo chini.