MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Jamaa analingine ila kanifurahishaDuuh! huyu RPC kapaniki kinoumah,sijawahiona RPC anaongea kwakupaniki na mikogo yote hii utadhani anaimba taarabu.
Jamaa analingine ila kanifurahishaDuuh! huyu RPC kapaniki kinoumah,sijawahiona RPC anaongea kwakupaniki na mikogo yote hii utadhani anaimba taarabu.
ameongea kwa kupanic mno!Hahaha Huyu police analingine na huyu mtu du!!
Au kamgegedea hahaha sio kwa kupanik huko
Ajabu kamkamata lakini kanakwamba bado anamtafuta na kumpa ujumbeameongea kwa kupanic mno!
Kupanic kama watu wa lumumba buku saba sio?Hahaha Huyu police analingine na huyu mtu du!!
Au kamgegedea hahaha sio kwa kupanik huko
sasa mbona kamanda ana shout kama ray kigosi? au na yeye ni mdau wa bongo movie!!
Haswa mkuuWatukamatie na huyu Bashite,anatesa sana eatumishi wa umma
Nimecheka sana...[emoji23]sasa mbona kamanda ana shout kama ray kigosi? au na yeye ni mdau wa bongo movie!!