Kilimanjaro: CHADEMA Arusha kupandisha bendera ya CHADEMA na M4C.

Hapo kwenye namba 1 unajidanganya wenye maamuzi ya mabadiliko ya nchi ni watanzania wenyewe hata dunia isipoelewa.

Vijana wa Chadema hali zao za kiuchumi sio nzuri hawawezi kutoa 50,000 kila mmoja huo ndio ukweli.

Hamuwezi kuzidi watu 10 ambao mtatatoa 50,000.

Mkuu,
Vijana wa cdm tupo vizuri. Na wale wasiokuwa na uwezo wanachangiwa na walionao. Binafsi siendi ila nimesha mwezesha kamanda mmoja kwenda. Na ninakuhakikishia vijana zaidi ya 50 watapanda mlima bila tatizo.
 
Hapo kwenye namba 1 unajidanganya wenye maamuzi ya mabadiliko ya nchi ni watanzania wenyewe hata dunia isipoelewa.

Vijana wa Chadema hali zao za kiuchumi sio nzuri hawawezi kutoa 50,000 kila mmoja huo ndio ukweli.

Hamuwezi kuzidi watu 10 ambao mtatatoa 50,000.

mbona kama imekuuma sana mkuu!!!
Ya mungu mpe mungu ,Ya kaisari mwachie kaisari , , , ,ww subiri habari tu.
 
Ujinga wake ni kudhani kwamba wana cdm nao ni wachumia tumbo waliotumwa na nape kuja kukitetea chama chake! Ufupi wa akili.
mbona kama imekuuma sana mkuu!!!
Ya mungu mpe mungu ,Ya kaisari mwachie kaisari , , , ,ww subiri habari tu.
 
filip suala lako nimelinote.

Suala la msingi ni hili, hao watu wanaotaka kupandisha hiyo bendera ya M4C wanauzoefu wa kupanda mlima???? Wasije wakaishia njiani halafu ikawa aibu. Hilo ndilo angalizo kuu.

Mengine itifaki itazingatiwa.
Kwani wewe hutopanda mkuu..
 
Hapo kwenye namba 1 unajidanganya wenye maamuzi ya mabadiliko ya nchi ni watanzania wenyewe hata dunia isipoelewa.

Vijana wa Chadema hali zao za kiuchumi sio nzuri hawawezi kutoa 50,000 kila mmoja huo ndio ukweli.

Hamuwezi kuzidi watu 10 ambao mtatatoa 50,000.
Subiri uone nguvu ya umma kuna watu watapanda hata kama wametoa 5000 tutawawezesha kwa msingi ni nia..
 
Wazo zuri sana kapandisheni bendera ya M4C iangaze ukanda na mipaka yote ya kaskazini.
""Popoooo""" ......... hawaaa!!!!
 
Kwann kaskazini tu?

unataka washuke?Hata nyerere alipandisha ya Tanzania pale juu ni kilele cha juu ionekane na watanzania wote,"iwape matumaini wote, waliokata tamaa chini ya mlima huu ktk mipak aya nchi yetu na africa Nzima".

CCM imakaa sana, mbaya haikushiriki vyema kuwazika wengine sasa itatupwa porini ikaliwe na mbweha, na ndege wote walao mizoga au viumbe wanaokaribia kifo.

Bora wao mimi ningefunga speakers zining`inie ktk helcopter halfu zipige people power Tanzania nzima kila tuendapo ktk mikutano.
 
Hapo kwenye namba 1 unajidanganya wenye maamuzi ya mabadiliko ya nchi ni watanzania wenyewe hata dunia isipoelewa.

Vijana wa Chadema hali zao za kiuchumi sio nzuri hawawezi kutoa 50,000 kila mmoja huo ndio ukweli.

Hamuwezi kuzidi watu 10 ambao mtatatoa 50,000.

Acha ujinga wewe, unawajua chadema au unawasikia akina Kikwete na taarifa za kupikwa wanazopelekewa?Kikwete kakiri anao King maker kibao, watu wana nunu uwaziri kwa hawa makuadi wanaoweza mpelekea raia majina ya kupata mawaziri.Sasa kwanini wasipewe taarifa duni kuhusu vijana wa CDM ili asiogope sana.

50,000/= hata watu wa saloon wanaweza toa itakuweje wafanya biashara?Watu wananunu viatu vya zaidi la laki kwa malipo taslim, wanakula bia za laki siku moja washindwe lipa hiyo hela kwa kipindi kilichobaki?watu wanamiliki magari na pikipiki na wanazibadili halafu washindwe jilipia?unacheza,wengine ni waongoza watalii mlimani na hivyo uhakika wa kufika pale kwenye kilele ni uahakika.

Na ccm wapeleke mibendera yao inayovuta nyuki kama mmea wa alizeti
 
Asanteni sana vijana wa Chadema Arusha,asanteni kwa yale yote mnayoyatenda,Mungu awatangulie ktk mambo yenu.
 
serekali ya magamba haina dogo,unaweza shangaa wakasema hairuhusiwi kupandisha bendera yoyote tofauti na ya taifa katika mlima huo

Yeah! Hawakawii kupeleka Bungeni muswada wa sheria tena kwa hati ya dharurura kuzuia hilo au ofisi ya mfuga nywele kutakiwa kutoa tafsiri potofu ya kisheria ili kuzuia hilo. Chadema kwa kurusha za uso hamjambo; ha ha ha ha!
 
Mi naomba watakaopanda wakikuta huko bendera ya CCM waishushe. Iabaki ya M4C only pale kileleni kwani tumechoshwa sana na ubaridhirifu wa CCM na jinsi viongozi wake wanavyoihujumu Tanzania bila aibu. Ni lazima 2015 tuondokane kabisa na janga hili la uongozi!
 
Nawakubali sana Makamanda wa Arusha.. Kule hakuna ubabaishaji.. Hata waliomo humu JF wakiazimia jambo wameazimia. Litafanyika tu. Big up Crashwise, Mungi, Preta, marejesho, Blaki Womani, Erickb52, Mzee wa Rula, sweetlady, Lil Flower, PakaJimmy, LiverpoolFC Filipo, Nanyaro Ephata n.k.

Mkuu big up yako tunaipokea, ni kweli hatujafundishwa siasa ya maneno kama watu wa mikoa ya pwani, bali siasa kwa vitendo............ huu ndio msingi hata nyumbani kwako should be implemented!
 
Back
Top Bottom