Mkuu mshana mtandao aubadiliki kama ni Tigo una baki Tigo kama ni Voda unakuwa Voda hiyo. Hiyo kwa maeneo yenye network ukifikà sehemu zisizo Na network ndio utatumia message yenye Namba za kujiunga message yenyewe ni Safaricom welcomes you to Kenya. Please dial 825 to listen to your voicemail messages. Our Contact Centre no. is +254722002100. Enjoy your stay with us!Simu yako ilisoma mtandao gani?
Hii ni kawaida sana kwakuwa signals hazitoki ardhini bali kwenye minara, hata ukifika Namanga upande wa Tanzania signals huanza kusoma za Kenya au Busia huanza kusoma za KampalaMkuu mshana mtandao aubadiliki kama ni Tigo una baki Tigo kama ni Voda unakuwa Voda hiyo. Hiyo kwa maeneo yenye network ukifikà sehemu zisizo Na network ndio utatumia message yenye Namba za kujiunga message yenyewe ni Safaricom welcomes you to Kenya. Please dial 825 to listen to your voicemail messages. Our Contact Centre no. is +254722002100. Enjoy your stay with us!
No nilienda tembea sipo karibu Na zingibariKumbe madame s ukp karibu na zingibari,utakuwa unapatikana maeneo ya Tanga wewe.
Haya!utalii wa ndani mkoani Tanga ila isiwe kutafuta zinazosadikiwa mali za mjerumani tu ikiwamo rupiaNo nilienda tembea sipo karibu Na zingibari
Hahahah ulishangaa ukajua umefika Kenya.My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Uwiiiii hell no!! Bahati nzuri nikapitiliza had sehem yaitwa vanga huko MombasaHaya!utalii wa ndani mkoani Tanga ila isiwe kutafuta zinazosadikiwa mali za mjerumani tu ikiwamo rupia
Iliendelea kusoma TIGO lakini mtandao unasumbua sana mkuuSimu yako ilisoma mtandao gani?
Ilibidi niulize wenyeji inakuaje maana at the mean time msg zilikua zinazidi kumiminika kunielekeza jinsi ya kupata huduma za hiyo safaricomHahahah ulishangaa ukajua umefika Kenya.
Mambo ya mpakani Hayo. Hapo lazima ushangae halafu kingine hizo sms zilizokuwa zinaingia. Ilisoma tigo-kenyaIlibidi niulize wenyeji inakuaje maana at the mean time msg zilikua zinazidi kumiminika kunielekeza jinsi ya kupata huduma za hiyo safaricom
signal ya Taveta-Kenya inafika huko. rombo ipo mpakani....Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
kumbe unatumia tigo hadi weweMy dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Wanaume nao wana - import, nenda ukahudumiwe!huu mji siku za mbeleni utakuwa wakitalii,huku si ndio wanawake wanaimport?
maake maajabu mengi.
Tena ikawa yajibadili badili mara tigo Kenya mara safsricomMambo ya mpakani Hayo. Hapo lazima ushangae halafu kingine hizo sms zilizokuwa zinaingia. Ilisoma tigo-kenya
We hutumiikumbe unatumia tigo hadi wewe