Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

Katiba na sheria vinasemaje kuhusu uhuru wa vyombo vya habari?, Katiba inasemae kuhusu mikutano ya vyama vingine vya siasa kufanya mikutano? Katiba na sheria ndiyo njia, sasa kama havifuatwi ndiyo yale unayoona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuibuka kwa watu wasiojulikana, n.k. Mtu anaomba aruhusiwe ampige risasi Tundu Lissu. Sheria inasemaje kuhusu kumuua mwenzako? Leo Zitto watu wanajadili wamemfanyie kitu mbaya zaidi ya Tundu Lissu. Je, katiba na sheria vinasemaje?
Unajua kama kumtishia mwenzako kumtoa uhai, ni kosa la kisheria?
Unaona yote haya ni kutofuatwa Katiba na sheria za nchi.
Looo! mkuu, inanilazimu nikubaliane na unayoandika hapa, maana naona umenichanganya au umejichanganya mwenyewe kiasi cha kutotambua ni kipi hasa unachong'ang'ania katika mada hii!
 
Lazima uchanganyikiwe na kutoelewa maana hujui nini maana ya "katiba na sheria". Ni sawa na kuwa Mkristo bila kufuata The Holy Bible au Muislam bila kufuata Quran lazima ufanye mambo ajabu. Soma kuanzia reply yako ya kwanza mpaka ya sasa. Utajua kitu gani kinazungumziwa
Looo! mkuu, inanilazimu nikubaliane na unayoandika hapa, maana naona umenichanganya au umejichanganya mwenyewe kiasi cha kutotambua ni kipi hasa unachong'ang'ania katika mada hii!
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Eti amekuwa condemned unheard , Acha kulinganisha Taifa la Marekani Kama Kamati ya Bunge ilivyokuitq ,Iran na Urusi.mataifa makubwa wala hawawaiti kwenye majadiliano
 
Lazima uchanganyikiwe na kutoelewa maana hujui nini maana ya "katiba na sheria". Ni sawa na kuwa Mkristo bila kufuata The Holy Bible au Muislam bila kufuata Quran lazima ufanye mambo ajabu. Soma kuanzia reply yako ya kwanza mpaka ya sasa. Utajua kitu gani kinazungumziwa
Aiseee, sijawahi kujibizana na mchangiaje anayejichanganya kama wewe hapa JF
Naona hiki ni kipaji ulichojaliwa pekee yako kuwa nacho, na sio mtu mwingine yeyote.

Seriously, kama kweli unaelewa unachochangia hapa, rudi mwanzo ukasome bandiko langu ulilonijibu mimi, na endelea kusoma majibishano yetu hadi kwenye mchango wangu huu.

Ukiridhika kwamba ni mimi niliyechanganyikiwa katika haya tunayojibishana, niko tayari kabisa kukuomba msamaha kwa kujichanganya kwangu na nisijue ninachochangia.

Sidhani kuwa unaweza kuwa na ujasiri huo.
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
In a negative way. Thank you.
 
Pasco kapokee bahasha yako kwa Msigwa. Umeweka tumbo lako mbele kuliko mustakabali wa Taifa letu. Huu ni ubinafsi uliopitiliza.

Nendeni mkajifunze Zimbabwe, Mugabe alikuwa na wapambe wapumbavu kama hivi ila leo wanakula nyasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANI WAKINIZUIA KWENDA MAREKANI NITAKUFA WAKATI WAGANGA WENGI WAPO HUKU AFRICA!!! HATUNA MPANGO WA KWENDA KWAO.CONGO NA NIGERIA KUNANITOSHA KUJIWEKA SAWA NA KUCHAJI POWER BENKI ZETU
 
IMG_20200202_204631.jpg hupo burundi labda
 
Kwani McMahoon, kuna sehemu yoyote katika andiko langu niliposema kwamba hayo yote uliyoyaweka hapo hayawapati wapinzani?

Maana ya mapambano ni nini mkuu wangu; hukumbuki kuwa kuna watu walijitoa mhanga wa maisha yao katika baadhi ya nchi wakipambania uhuru wa nchi hizo?

Hayo wanayofanyiwa wapinzani hapa nyumbani ni sehemu ya mapambano, kamwe hayawezi kuzuia juhudi zao za kuyapambania wanayoyaamini wao kuwa ndiyo yenye manufaa kwa taifa letu.

Sasa kama kazi hiyo hawaiwezi kuifanya wakisubiri hadi hapo anayewazuia awaruhusu - kama hicho ndicho unachowashauri wakifanye, basi wewe na wao mtasubiri milele.
nukuu nyingi za mh mbowe amesema hataki damu imwagike that'sway wamekuwa wapole sana hata ktk kudai haki zao za msingi kwa maslai ya taifa kwa ujumla,but still wakuu wa serikali wamekuwa wanabeza..so what next? ndio haya anayafanya mh zito sasa(indirect fighting) labda viongoz watasikia kupitia upande wa pili....
 
Hivi ni kweli kuwa yeye ndio anaxui watu wake kumwaga damu? Mbona hali halisi inaonyesha kuwa watu hao wanahama chama kila wiki? au alimaanisha kumwaga damu kimtandaoni zaidi? Lakini sidhani kama technolojia imeshafika huko:)
nukuu nyingi za mh mbowe amesema hataki damu imwagike that'sway wamekuwa wapole sana hata ktk kudai haki zao za msingi kwa maslai ya taifa kwa ujumla,but still wakuu wa serikali wamekuwa wanabeza..so what next? ndio haya anayafanya mh zito sasa(indirect fighting) labda viongoz watasikia kupitia upande wa pili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
WEWE MPUUZI ENGLISH HAIPANDI. SURA MBAYA KAMA TRACTOR YA MKOLONI
 
Nione nini kutoka katika nchi masikini Kama hii yetu ya Tanzania..?

Nini jipya!!? Labda ndio tunazidi kujizidishia umasikini, tunazidi kuwatia Watanzania kwenye ufukara..

Mnachokosea mnafikiri mnashinadana na Wamarekani, mkae mkijua hamshindani na Marekani bali mnashindana na Wakati, mnashindana na Enzi,

Hizi ni Enzi za Ukweli na Uwazi,Enzi za IT, ukenda kinyume na hivyo ujue utaumbuka tu,.... Mark my words
Umeshaona?

Endeleeni kujipendekeza kwa makaburu, hawanaga urafiki na mtu zaidi ya interests zao...Baada ya kuwaona hamna impacts wamewa flash ka tp
 
Hivi ni kweli kuwa yeye ndio anaxui watu wake kumwaga damu? Mbona hali halisi inaonyesha kuwa watu hao wanahama chama kila wiki? au alimaanisha kumwaga damu kimtandaoni zaidi? Lakini sidhani kama technolojia imeshafika huko:)

Sent using Jamii Forums mobile app
vitisho,na hongo za pesa ndio siraha inayotumiwa na CCM kuyafanya hayo unayozungumza
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Ujinga kwako sio ujinga kwa taifa. Swala la Makonda sio la kitaifa ni binafsi
 
Back
Top Bottom