Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

Kwa hili wamechemka.amna kesi ila kuna usufumbufu.Mungu amsaidie amekua icon ya ichii kwa muda mrefu na ametunga viziri.siku zote mtenda haki apotei.watu kama hawa ni zaidi ya kiwanda tuwalinde sana.
 
Soma post yake utaelewa labda km hujui maana ya Uhuru wa Mahakama
Uhuru wa mahakama hauingiliwi kwa watu kutoa maoni yao kuhusu kesi iliyoko mahakamani na hiyo ni nadharia ya kale ambayo haitumiwi sana na mahakimu weledi wa zama hizi. Pia nadharia hiyo inafanya kazi ambako mahakama hutegemea jopo la wazee wa baraza (Jury) kufanya maamuzi. Mahakama zetu haziufuati wala kuutumia mfumo huo.
 
kilichomponza ni ufisadi wake ameiba kodi za watanzania wanyonge CHADEMA acheni kutetea wahalifu
Naandika kama ninaemjua vizuri Tido na niliyefanya kazi naye, wewe mwongo mkubwa kum...nina wee. Hata ukiwa Waziri wa Serikali. Msh..zi mmoja tu. Kama una njaa kawape hao wanaokutuma kazi hizi kitu kingine ulichonacho, na siyo kutapanya uwongo wa kumchafulia mtu jina. Tido hakuiba Uingereza alipokuwa anaangalia bajeti ya pauni milioni 2 kwa mwaka aje aibe vijisenti vya wakulima? Una akili wewe au unasema kutokea nyuma?
 
The mad dogs are baying for blood- not this man but Barnabas. Pontius Pilate taratibu ananawa mikono, SIMO. Kusulibiwa Kwa Tido.
 
Ili uwe fisadi au mpinga maendeleo basi kosoa sirikali. Ukiwa mwizi, jambazi, fisadi lakini uko ndani ya ccm na unawasifia wakubwa basi we utakuwa mpenda maendeleo na mzalendo
 
Acha kabisa kuingilia uhuru wa mahakama.Ikiwa una uchungu sana huyo mh kufikishwa mahakamani mkodishie advocate

Uhuru wa mahakama za Tanzaniaaaaaa.....................................my...!
 
Wiki kadhaa nyuma niliiona Azam TV taarifa ya Tundu Lissu akihojiwa na Tido, yalikuwa ni mahojiano marefu sana na ya uwazi.

Nilijua tu siku za Azam TV au Tido zinahesabika.

Nchi inayoendeshwa ki-imla, karne hii ya 21! Angewaanchia Wanyarwanda uongozi wa namna hii.
 
Tido Mhando alidanganywa na viongozi kipindi kile akaacha ajira BBC sasa anapewa kesi
 
Mambo ya kutisha Na kusikitisha sana, watu walioiingizia nchii hasara wako huru wakitanua mitaani wasio Na hatia ndio wana kesi za kujibu
 
Kila anaefikishwa Mahakamani mnadai Kaonewa japo wengine ndio wale mliokuwa mnawalaumu!
 
Wiki kadhaa nyuma niliiona Azam TV taarifa ya Tundu Lissu akihojiwa na Tido, yalikuwa ni mahojiano marefu sana na ya uwazi.

Nilijua tu siku za Azam TV au Tido zinahesabika.
Kweli aisee...!!!

Au ndio ile kauli "wasifikiri wako salama"....!!!!Umenikumbusha mbali wewe.
 
Nashauri hata aliyenunua Kivuko bomu cha Bagamoyo akiwa Waziri wa ujenzi apelekwe Mahakamani
 
Back
Top Bottom