Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Ninavyoelewa mwanamziki Diamond ni kipenzi cha mkuu lakini Diamond alisahau pale mwanza alipotoa clip kwenye You Tube akiiponda shirika la ndege la Tanzania baada ya yeye kuchelewa kufika airport. Kama mjuavyo hili shirika ndilo Mkuu analifufua hawezi kukubali mtu yeyote alichafue