Kilichomponza Diamond ni Kashfa Dhidi ya ATC

Hiyo great thinking umeificha wapi? Mbona huitumii?
Mbn mi situmii lugha ya kuudh ndugu.hili jukwaa hlihitji hasira bt great thinking mzee otherwise nenda kwenye majukwaa ya kibao kata.
 
Wabongo hatuna utamaduni wa kukosoa ,uoga umetujaa na ndio maana taasisi karibia zote za serikali ni hovyo,sasa watu wanadai Diamond kalidhalilisha shirika la ATC ina maana Jerry Muro alivyowarekodi ,wake trafiki wakichukua rushwa je alilidhalilisha jeshi la polisi?na baadaye akapewa tuzo bora ya uandishi wa habari za uchunguzi,je ina maana waliompa tuzo nao walikosea ?

Jerry Muro akabidhiwa tuzo ya Mwandishi Bora 2009

Alichofanya Diamond kinatofauti gani na alichofanya Jerry Muro?Wakati wiki moja iliyopita Waziri wako wa uchukuzi aliwalaumu ATC kwa tabia kama hizi pamaja na tetesi wanataka kulihujumu shirika la ATC.Taasisi karibia zote za serikali customer care ni mbovu Tanesco,Dawasco,Muhimbili (mimi taasisi nilisha korofishana nazo ).Tukitaka huduma nzuri ni wajibu wetu kukosoa pale wanapokosea.
 
Muro hana impact.
 
Muro hana impact.
Kwa watu tusio na impact ndio tunaruhusiwa kurekodi na kaposti mitandaoni? Ila wenye impact hawaruhusiwi huoni kwamba utakuwa uneuminya uhuru wao, kwani kuwa na impact hakukuondolei haki ya kuikosoa.
Hivi unajua thamani mwandishi wa habari, ukitaka kujua impact ya mwandishi wa habari mguse alafu uone UN watakavyokupigia makelele.
 
Kwa hyo ile ilikuwa njia sahihi ya kufikisha malalmiko?diamond atambue tu yy ni mdodo sana kwa ATCL nidhamu kwa shirika hlo ni muhimu sana. Who is diamond by the way. Tumempa heshima amekuwa diamond kavimba kichwa,sasa ajue tu sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Mitanzania bhana!!

Mwaka 2008 nilikuwa NMB na mwaka huo huo pakatokea mgomo... tuligoma kwenda kazini!

Tukakutana pale Msimbazi Center... tukahamasishana kwa nyimbo, risala na kaulimbiu!

Kwa amri ya mahakama, siku iliyofuata tukarudi kazini!!

Kwa akili yangu, nikahisi wateja wangekuwa wamekasirika kweli kweli kwa sababu, ingawaje tulikuwa tunadai haki yetu, kwa upande mwingine ilikuwa ni damage kubwa sana kwa Wateja!

Lakini wakati nikidhani wangekuwa wamenuna; nikashangaa kuona wengi wakiingia na bashasha la haja usoni huku wengine huku wengine wakisema "dah! We jamaa wewe, jana nimekuona kwenye TV ukiimba!"

Hapo ndipo nilipojua Watanzania hawajui kabis haki zao! Na 99% ya Wateja wa hawajui haki zao!!

Sasa kukujibu swali lako "Who's Diamond?"

Based on the context, Diamond ni Mteja!

Huwezi kumpangia Mteja namna ya kufikisha malalmiko yake!! Sie tulio kwenye field ya customer service kuna kaulimbiu tunaitumia kwamba, "A customer is always right!" Mteja HAKOSEI! Na ndio maana, kama ni Wateja unaowahudumia over counter; Mteja anaweza kuanza kukufokea mbele za watu lakini as a customer service personnel unatakiwa kuwa mpole unless kama aliku-attack wewe personally instead of the business! Ukianza kubishana nae; am telling you; hiyo ni sababu tosha ya wewe kuwa fired!!

Na hata ninaposema "unless kama aliku-attack personally" haimaanishi akifanya hivyo ndo uanze kutunishiana nae misuli!! Waswahili wanasema Mteja Mfalme, na ni Mfalme kweli kweli hata kama Wateja wa Kibongo hamzijui haki zenu!

So, stop saying "who's Diamond!" Whether awe Diamond au yeyote yule, so long as ni Mteja, s/he needs to be handled with care!! Hayo mambo yenu ya "who're you!" Pelekeni huko Public Sector msikowajali wataka huduma!!

And am telling you!! Kama hiyo serikali ndivyo inavyofanya! To DEAL with complaining customers, then you have a long way to go, na matokeo yake ndo hayo kila siku mtaishia kuombea competitors wafe kama wanavyokufa Fast Jet!
 
Back
Top Bottom