Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

Aisee kumbuka msemo unaosema ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga hata uwe na walinzi Kiasi gani you will die.
Hata waliopanga na kushiriki kumpiga Tundu Lissu risasi zile lazima kuna siku zitawarudia kwenye miili yao na hawatanusurika kama alivyonusurika Lissu.
 
Mseven hayupo kama hawa unaowasema yuko vizuri tu ni watu wamemchoka tu kwavile kakaa muda mrefu madarakani mimi hata ninaandika hapa nipo Gulu Mjini hapa huwa nakuwaga nawahoji waganda kwanini hamtaki mseven hoja yao wananijibu ni kwa vile amekaa muda mrefu madarakani waganda wanauhuru sana wanabishana na polisi na polisi hawaonei watu hadhani hata mji Wa Arua hapo unaulinzi mkali sana hakuna uonevu hata kidogo mimi huku najishughulisha na shughuli za kiraia na huwa wanànijua vizuri kuwa ni mtz lakini sijapata kikwazo kile nikipata tatizo polisi wananidia vizuri sana tuko na wanubi wasudan japo wakorofi waganda Wa hawana ubaguzi wanyaruanda Congo na warundi wanaishi vizuri sana hakuna uonevu kama kwetu mseven ni raisi mzuri RAIA wanamiliki vitu magengo mkubwa yote ni ya raia na viongozi waganda hawana njaa tumwache baba Wa watu tatizo watu wanasikiliza akina besege wakati wamekuwa matajiri sasa wanata na uraisi mseven hata kama ni dictator ila udictator wake una uhafadhali na akija raisi mwingine Uganda itaaribika
Shida unaishi porini sasa Gulu,Kitgum,Arua nao ni watu kweli?? Kule wamejaa wakimbizi kutoka south sudan hivyo lazima wamuone museveni Mungu licha ya uovu wake.... pia huko hawako exposed kama mjini yaani masaka,Kampala,Jinja,Mbarara n.k

Huyo museveni ni dikteta kuliko unavyodhani na vitu kibao kuanzia vyuo vikuu na mall kubwa anamiliki yeye... Huko mbarara na bushenyi ndio kabisa kajilimbikizia mali kibao tu kuanzia Ranch na mashamba makubwa huku wananchi wakiwa na umaskini mkubwa sana.

Kuhusu rushwa nayo umepotosha... Polisi wa Uganda wanapenda sana rushwa na huonea sana watu hasa maeneo yanayompinga mzee museveni.

Kuhusu ubaguzi nao unapotosha mkuu.... Cream nzima ya working class na serikali imetawaliwa na kabila moja tu na ni westerners anapotokea museveni na wanabagua sana makabila mengine kupata fursa za kazi na biashara/ardhi n.k kuanzia airport mpaka border ya Busia ni wanyankole watupu kwenye ofisi zote ilihali elimu wanayo makabila kibao tu je unasemaje kuwa hakuna ubaguzi??

Ingawa nakuunga mkono kweli akija Rais mwingine uganda itaanguka rasmi na kurudi vitani ila all in all wote ni madikteta tu ingawa tofauti ya Magufuli na Museveni ni miaka waliokaa madarakani,Basi.
 
Samuel Doe alimkamata Prince Johnson na wenzie akawaweka jela ila hakuwaua akawaachia waende kwa amani ila waache vita..... Ghafla wakarudi kupigana naye na wao walipomkamata Doe wakamuua!! Tena kikatili mbele ya camera

Kuhusu kisasi nakumbuka Prince Johnson aliamua kuokoka na kuomba radhi kwa makosa aliofanya na TB Joshua aliwapatanisha na mwanaye Samuel Doe na chuki ikaishia hapo so hakuna kisasi chochote tena

All in all tujifunze kutenda haki otherwise unayotendea watu ndio yatakurudia... Huyo Doe alikuwa dikteta haswaa hivyo alivuna alichopanda
Poapoa mkuu,ila inahitaji imani kali sana mtu amfanyie hivyo baba yako thrn badae usamehe.
Funzo zuri sana hili
Shukrani chief
 
Mtanzania wakati mwingine sio wa kumsikiliza. Kuna watu enzi za JK walikuwa wanamuomba Mungu nchi ipate rais mbabe.

Sala zikasikilizwa lakini kichekesho ni kuwa hao hao walioutaka ubabe ndio wanarudi kuota ndoto za demokrasia na uhuru wa kuongea.

Tunamchosha Mungu kwa maombi yetu ambayo hayatoki moyoni.
 
Shida unaishi porini sasa Gulu,Kitgum,Arua nao ni watu kweli?? Kule wamejaa wakimbizi kutoka south sudan hivyo lazima wamuone museveni Mungu licha ya uovu wake.... pia huko hawako exposed kama mjini yaani masaka,Kampala,Jinja,Mbarara n.k

Huyo museveni ni dikteta kuliko unavyodhani na vitu kibao kuanzia vyuo vikuu na mall kubwa anamiliki yeye... Huko mbarara na bushenyi ndio kabisa kajilimbikizia mali kibao tu kuanzia Ranch na mashamba makubwa huku wananchi wakiwa na umaskini mkubwa sana.

Kuhusu rushwa nayo umepotosha... Polisi wa Uganda wanapenda sana rushwa na huonea sana watu hasa maeneo yanayompinga mzee museveni.

Kuhusu ubaguzi nao unapotosha mkuu.... Cream nzima ya working class na serikali imetawaliwa na kabila moja tu na ni westerners anapotokea museveni na wanabagua sana makabila mengine kupata fursa za kazi na biashara/ardhi n.k kuanzia airport mpaka border ya Busia ni wanyankole watupu kwenye ofisi zote ilihali elimu wanayo makabila kibao tu je unasemaje kuwa hakuna ubaguzi??

Ingawa nakuunga mkono kweli akija Rais mwingine uganda itaanguka rasmi na kurudi vitani ila all in all wote ni madikteta tu ingawa tofauti ya Magufuli na Museveni ni miaka waliokaa madarakani,Basi.
Hayo yote nayajua na sijasema mseven sii dictator Bali nimesema nikuwa udictator wake unauhafadhali kumbuka hata yule mkuu wa polisi aliyemuua kawessi mseven hukuona amekaa upande Wa walalamikaji alafu rushwa kweli ni kubwa ila polisi ilimradi umempa chochote hawakubambiki semapale kuna wananchi mabepari wabaya kuliko mseven mfano mmliki Wa cosco ltd ni dictator balaa mimi hata pale Kampala nina ofisi yangu best mtaa wa nakivubo road huku Gulu na ARUA Nina mitego yangu polisi wako fear kiasi japo Arua usiku mwisho SAA nne ila wanafanya vile kwa usalama
 
Nadhani hii ni baada ya wananchi na waasi wa hii nchi kuchoshwa na manyanyaso ya raisi wao wakamtenda hivi baada ya kumpindua miaka ya 1990s.

African presidents take care kwani uvumilivu wa wananchi wenu una kikomo yasijekukuta haya ndugu yangu...

Kuna cha kujifunza hapa
 
Mtanzania wakati mwingine sio wa kumsikiliza. Kuna watu enzi za JK walikuwa wanamuomba Mungu nchi ipate rais mbabe.

Sala zikasikilizwa lakini kichekesho ni kuwa hao hao walioutaka ubabe ndio wanarudi kuota ndoto za demokrasia na uhuru wa kuongea.

Tunamchosha Mungu kwa maombi yetu ambayo hayatoki moyoni.
Umekubali sasa kuwa maombi yao yalitoka moyoni?
 
Samuel Doe - Wikipedia, the free encyclopedia

Try to consult wikipedia any time you have kind of those questions!

Hii mada ilipostiwa mwaka 2010, mimi nilikuwa hata sijawa member wa JF...

Lakini nimeisoma the whole story ya huyu jamaa (Samwel Doe). Inasikitisha sana na honestly, jamaa alikufa kifo kibaya sana...

Kwa ujumla story inasisimua na kutoa funzo fulani kubwa kwa viongozi wote duniani, kwamba, unapoaminiwa na kupewa nguvu na mamlaka ya uongozi ili uongozi Kundi la watu ktk nchi au jumuiya fulani;

Basi tambua kuwa hiyo ni dhamana ya muda tu. Ni vizuri mno kutekeleza wajibu wako kwa haki na kwa mujibu wa taratibu walizoziweka wenyewe hao watu waliokupa dhamana ya uongozi huo...

Nimejifunza pia kuwa, haya mataifa makubwa na yenye nguvu duniani urafiki wao kwa viongozi fulani, huwa zaidi wa kimaslahi tu ya kisiasa...

Just see this. Samwel Doe, akiwa rafiki wa USA, hao hao USA hawakuweza kumlinda na kumpigania alipopinduliwa na Prince Johnson na kuishia kufa kifo cha aibu cha kuchinjwa kama nguruwe...!

Lol.. Inatisha sana. Na ni kweli kuwa, auae kwa upanga, naye atakufa kwa upanga vilevile...

Samwel Doe's death and story justifies this statement...
 
Prince Johnson ni mchungaji ana kanisa kubwa tu Liberia siku hizi.
Bashite kilichobakia amkabidhi tu Mungu maisha yake,afungue kanisa ahubiri neno la Mungu kuhusu kweli na toba.Maana dunia imemvalia bukta chance ya kupata teuzi haipo tena alitukana mamba,mtumbwi umeliwa na kiboko kivukio hakipo tena.
Musiba ndo kapotea kabisa hata kabla ya 40 aliowatukana ndio wapo mezani.Sabaya analia juu ya maovu aliyowatendea watu.
Tunaposema dunia Ina kanuni zake muwe mnaelewa.
 
Hayatoki moyoni kwa sababu nina uhakika mimi na wewe hatuzijui nia zao na mipango yao kwa mapana yake.

Watu wamevunja Mageti ya uwanja wa ndege pale airport na huwezi kusema kwa ujumla wao kuwa ni watu wasiojielewa.
Naona bado uko kwenye denial...ndugu yetu ndiyo hivyo amelala usingizi wa milele
 
Duh,pressure imenipanda.Hii wampelekee baba Ritz,akumbuke anavyoitumbukiza nchi shimoni huku umasikini ukizidi kuwaandama watz, huku wao CCM waking'ang'ania madaraka.Hii hali naiona TZ haiko mbali sana.Ngoja huu mfumuko ufike50% mishahara ileile, ndio watakapojua kuwa "Usimuamshe aliyelala,ukimuamsha utalala wewe"
Sasa Leo mbona mnasema kipindi Cha baba riz kulikuwa na pesa Sana?
 
Back
Top Bottom