Kilichomfelisha Tundu Lissu ni kuongea ukweli mbele ya Umma uliozoea uongo, shortcut, unafiki na propaganda

Habari wakuu

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.

Hakuna ubishi kuwa hoja zote alizokuwa anaziwasirisha mh. Tundu Lissu kipindi cha kampeni zilikua Ni ukweli mtupu.

Ingekuwa anagombea nchi zenye watu wenye uwezo wa kupambanua mambo Basi angeibuka mshindi mapema Sana

Hakuna ubishi nchi yetu imejawa na wimbi kubwa la watu wajinga waliozoea unafiki , uongo , chuki , shortcut , na roho mbaya

Pole mh Tundu Lissu
Badili uraia ukagombee USA.
Mna mahaba na Lisu,hivi kuna uongo unao zidi huu 👇👇
images (22).jpeg

Manake huu ni zaidi ya UNAFIKI,zaidi ya UONGO mnamwita mtu fisadi kwa miaka mitano,mmezunguka Tanzania yote mkimwita fisadi tena kwa VINYWA VYAO AKINA LISU WALIDAI USHAHIDI WANAO,lkn ndani ya masaa 24 mnamsafisha na mpaka kuondoa ile list ya mafisadi ktk website ya chama na mnampa nafasi ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama chenu.

Au njaa ndizo ziliwafanya akina Lisu wabadili msimamo?Manake kama hela ndogo tu ya Lowasa imebadili msimamo walichokuwa wanakisimamia nakukiamini zaidi ya miaka mitano,siku wakipewa nchi si watauza nchi.

Yaani kwa mtu wenye uwezo wa kupambanua vitu kama wenzetu ulaya,Lisu na viongozi wote wa CHADEMA hawafai hata kupewa nafasi ya kuongoza mtaa.
 
Habari wakuu

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.

Hakuna ubishi kuwa hoja zote alizokuwa anaziwasirisha mh. Tundu Lissu kipindi cha kampeni zilikua Ni ukweli mtupu.

Ingekuwa anagombea nchi zenye watu wenye uwezo wa kupambanua mambo Basi angeibuka mshindi mapema Sana

Hakuna ubishi nchi yetu imejawa na wimbi kubwa la watu wajinga waliozoea unafiki , uongo , chuki , shortcut , na roho mbaya

Pole mh Tundu Lissu
Badili uraia ukagombee USA.
Unaongea kiujumla jumla, embu taja jambo lolote la maana na la kweli lililoongewa na TAL, zaidi ya kukosoa miradi iliyotekelezwa na kumtusi Jpm!

...maendeleo ya watu na si maendeleo ya vitu.... ndiyo zilikuwa hekaya zake hizo.

Sasa hayo maendeleo ya watu yanapatikanaje bila kuendeleza kwanza vitu!

Sijawahi shuhudia mwanasiasa wa hovyo kama TAL kwa uropokaji na ujuaji.

Na asipojirekebisha, ndoto zake za kuwa rais wa JMT atazikwa nazo kaburini bila ya kutimia.

Halafu jifunze kauli za staha kwa jamii.

Unaposema waTz wajinga kwa kutomchagua TAL, wewe mwenye akili, umesaidia nini katika mustakabali wa kuondoea ujinga taifa hili ama kwa mtu mmoja mmoja unaowatusi?
 
-mshalipa wakulima wa korosho?
 
Hoja ya kuifanya tanzania kuwa kama ulaya , Arusha kama karifonyaaa for 5 years hiyo ndio staha?
 
Habari wakuu

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.

Hakuna ubishi kuwa hoja zote alizokuwa anaziwasirisha mh. Tundu Lissu kipindi cha kampeni zilikua Ni ukweli mtupu.

Ingekuwa anagombea nchi zenye watu wenye uwezo wa kupambanua mambo Basi angeibuka mshindi mapema Sana

Hakuna ubishi nchi yetu imejawa na wimbi kubwa la watu wajinga waliozoea unafiki , uongo , chuki , shortcut , na roho mbaya

Pole mh Tundu Lissu
Badili uraia ukagombee USA.

Ni wizi katika kura.
 
Ni ukweli mtupu.
Labda kuna tafsiri mpya ya neno ukweli!! Kama tafsri ni ile ile ninayoijua, basi Lissu alijaa maneno ya uongo. Mfano, kuwaambia watanzania wa Kilimanjaro kuwa " wakati wa ukoloni madaraka yalikuwa kwa wananchi ". Ulikuwa uongo wa kiwango cha lami ya Konoike kipindi hicho!!!
 
Nani muongo kati ya TAL na JPM?
 
Unaongea kiujumla jumla, embu taja jambo lolote la maana na la kweli lililoongewa na TAL, zaidi ya kukosoa miradi iliyotekelezwa na kumtusi Jpm!

...maendeleo ya watu na si maendeleo ya vitu.... ndiyo zilikuwa hekaya zake hizo.

Sasa hayo maendeleo ya watu yanapatikanaje bila kuendeleza kwanza vitu!

Sijawahi shuhudia mwanasiasa wa hovyo kama TAL kwa uropokaji na ujuaji.

Na asipojirekebisha, ndoto zake za kuwa rais wa JMT atazikwa nazo kaburini bila ya kutimia.

Halafu jifunze kauli za staha kwa jamii.

Unaposema waTz wajinga kwa kutomchagua TAL, wewe mwenye akili, umesaidia nini katika mustakabali wa kuondoea ujinga taifa hili ama kwa mtu mmoja mmoja unaowatusi?
Ndo shida yetu watz
Hatupendi kuambiwa ukweli.
 
Joe biden angekuwa anatoa hoja kuhusu ubwabwa na maharage basi asingepita.
Ila africa unaweza ukapita.

Conclusion ni asilimia kubwa africans ufahamu wao umedumaa.
Solution yenye nafuu ni kubadirisha mfumo wa elimu.
 
Back
Top Bottom