Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

"Matatizo yanayoikabili jamii yetu hayawezi tatuliwa na watu walewale,wenye fikra zilezile,kwa njia ileile na chama kilekile''Viva CDM wakati wamabadiliko ndio huu!
 
Hii inapendeza wakuu asanteni kwa ma-photo.
Uamuzi uliofikiwa wa kukata rufaa ni mzuri na wakupongezwa.Haki ya Lema kugombea ni muhimu kuilinda.Miaka mitano bila kugombea ni mingi sana na pia hukumu yenye haigazingatia vipengele husika na mwenendo na madai ya Kesi yenyewe.
 
Yesu amekufa jana wakristo wanaomboleza hadi keso alfajiri
amekuuliza vema kabisa rejao sijui ww ulitaka chadema waomboleze nani zaidi ya amchungu waliyo nayo ya kupokwa haki
sababu za rufaa ziko wazi jajli alijichanganya ktk vifungu na hawezi kubadili
kesi za kasha hufunguliwa na mwathirika mwenyewe na sio mtu mwingine kwa niaba
mwathirika hakufika na hajawahi kufika mahakamani.
jaji nlimwamini lkn nlishangaa sana hukumu yake

Kwanini wafuasi wengi wa CDM kwenye posts zao lazima wamtaje yesu????...hiki ni chama cha siasa au ni kikundi cha watu wa dini flan?
 
Umati huu ni
ujumbe tosha kwa
mba ccm inaelekea
kudumbukia
chooni! Puuu! Ee
Mungu saidia
idumbukie 2 ili
2pate uhuru wetu.
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • IMG_0092.JPG
    IMG_0092.JPG
    54.3 KB · Views: 3,138
  • IMG_0061.JPG
    IMG_0061.JPG
    41.6 KB · Views: 51
  • IMG_0055.JPG
    IMG_0055.JPG
    38.2 KB · Views: 3,096
  • IMG_0054.JPG
    IMG_0054.JPG
    42.2 KB · Views: 64
  • IMG_0082.JPG
    IMG_0082.JPG
    31.5 KB · Views: 283
  • IMG_0068.JPG
    IMG_0068.JPG
    42.8 KB · Views: 3,248
  • IMG_0062.JPG
    IMG_0062.JPG
    48.1 KB · Views: 3,322
  • IMG_0093.JPG
    IMG_0093.JPG
    27.2 KB · Views: 64
  • IMG_0088.JPG
    IMG_0088.JPG
    45.8 KB · Views: 3,204
  • IMG_0056.JPG
    IMG_0056.JPG
    24.2 KB · Views: 284
magamba matumbo moto. Kweli wameamua kujikaanga kwenye mafuta nafikiri sasa wanajuta kwa walichokifanya.
 
Huko walikoCCM lazima walaumiane kwa uamuzi ovyo walioufanya wa kumkatiza Lema mda wake. Na tutasikia mengi ktk kipindi hiki.
 
Hali ndo hiyo, there is big challenge for sisiem. Maana vijana wanasema wapige kula kesho ssm wajifunze. Ningekuwa mwana ccm hapa situmwi kupiga kampeni. Nimejionea kwa macho yangu. PIpooooooooooooooooos! Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Duh! Tanzania yenye neema yaja sasa, soon and very soon!Huyo jaji, natumai dhamira yake itakuwa ikimlilia kwa kile alichokitenda. Hivi waweza kumhukumu mtu kwa sababu ya kashfa ili hali mhusika mwenyewe aliyekashifiwa hajawahi kukanyaga hata mahakamani. Ooh! Lord, ninaomba dhamira ya huyo jaji iendelee kumlilia mpaka siku itakaporudi kwa mja wake!Jaji, waweza kufungua kesi ya kumnyanganya ubunge - yule mbunge wa Dodoma aliyeshusha matusi kule Arumeru!
 
Back
Top Bottom