"Matatizo yanayoikabili jamii yetu hayawezi tatuliwa na watu walewale,wenye fikra zilezile,kwa njia ileile na chama kilekile''Viva CDM wakati wamabadiliko ndio huu!
Hii inapendeza wakuu asanteni kwa ma-photo.
Uamuzi uliofikiwa wa kukata rufaa ni mzuri na wakupongezwa.Haki ya Lema kugombea ni muhimu kuilinda.Miaka mitano bila kugombea ni mingi sana na pia hukumu yenye haigazingatia vipengele husika na mwenendo na madai ya Kesi yenyewe.
Yesu amekufa jana wakristo wanaomboleza hadi keso alfajiri
amekuuliza vema kabisa rejao sijui ww ulitaka chadema waomboleze nani zaidi ya amchungu waliyo nayo ya kupokwa haki
sababu za rufaa ziko wazi jajli alijichanganya ktk vifungu na hawezi kubadili
kesi za kasha hufunguliwa na mwathirika mwenyewe na sio mtu mwingine kwa niaba
mwathirika hakufika na hajawahi kufika mahakamani.
jaji nlimwamini lkn nlishangaa sana hukumu yake
Hali ndo hiyo, there is big challenge for sisiem. Maana vijana wanasema wapige kula kesho ssm wajifunze. Ningekuwa mwana ccm hapa situmwi kupiga kampeni. Nimejionea kwa macho yangu. PIpooooooooooooooooos! Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Duh! Tanzania yenye neema yaja sasa, soon and very soon!Huyo jaji, natumai dhamira yake itakuwa ikimlilia kwa kile alichokitenda. Hivi waweza kumhukumu mtu kwa sababu ya kashfa ili hali mhusika mwenyewe aliyekashifiwa hajawahi kukanyaga hata mahakamani. Ooh! Lord, ninaomba dhamira ya huyo jaji iendelee kumlilia mpaka siku itakaporudi kwa mja wake!Jaji, waweza kufungua kesi ya kumnyanganya ubunge - yule mbunge wa Dodoma aliyeshusha matusi kule Arumeru!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.