Gurudumu, hujatutendea haki. Hata kumega angalau kidogo nini kinaendelea ndugu? Nimempigia mtu simu nasikia 'peopleeeeeessss poweeeeerrrrr' kwa sana. Hii biashara ya kutegemea TV za wachache mbaya sana! Lakini ujumbe utafika tu! Safari hii serikali lazima ikubali!
eheee
Dr alisema ana recod za vikao vya ikulu kuhusu ajenda ya kupandikiza udini
Elimu ya kikwete haimruhusu kuelewa! Da kamaliza kbs
Huyu rex atonery ni nani? Alishauri kuvunj mkatab, leo ana shauri tulipe deni. Dr huyo
Jamani tusiwalaumu sana..sio wote simu zao zinasupport internet!!!
Uchumi huu wa Kikwete hata wengine zetu zina internet lakini siwezi kutuma maana umeme umekatika tangu jana asubuhi nimeshindwa kucharge na ukizingatia leo sijaenda kazini!!!
Hapa kuna umuhimu wa kuwa na battery mbili..
Wamecheki registry hakuna hukumu iliyosajiliwa, kuna viambatanisho' da tumeliwa
Vijijin watu wanakamatwa wakikata kuni wanakamatwa, mijini nako kizungumkuti