Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Ana taarifa za siri, jk alisema eti ni uzembe wetu hivyo tulipe tu dowans, haa, kama uzembe ni wao basi walipe wao ala. Dr kaua
 
Gurudumu, hujatutendea haki. Hata kumega angalau kidogo nini kinaendelea ndugu? Nimempigia mtu simu nasikia 'peopleeeeeessss poweeeeerrrrr' kwa sana. Hii biashara ya kutegemea TV za wachache mbaya sana! Lakini ujumbe utafika tu! Safari hii serikali lazima ikubali!

ndo hvyo utafika tu ujumbe
 
Wamecheki registry hakuna hukumu iliyosajiliwa, kuna viambatanisho' da tumeliwa
 
Huyu rex atonery ni nani? Alishauri kuvunj mkatab, leo ana shauri tulipe deni. Dr huyo
 
Jamani tusiwalaumu sana..sio wote simu zao zinasupport internet!!!
Uchumi huu wa Kikwete hata wengine zetu zina internet lakini siwezi kutuma maana umeme umekatika tangu jana asubuhi nimeshindwa kucharge na ukizingatia leo sijaenda kazini!!!
Hapa kuna umuhimu wa kuwa na battery mbili..
 
@ Zitto
Nakuomba Mkuu kama Chama (CHADEMA) muwe mnarekodi hizi issue hata audio na kuzirusha Youtube au MegaUpload, Kwanini Chadema msiwe na Account Youtube mtasaidia wengi kupata hizi habari...
 
Jamani tusiwalaumu sana..sio wote simu zao zinasupport internet!!!
Uchumi huu wa Kikwete hata wengine zetu zina internet lakini siwezi kutuma maana umeme umekatika tangu jana asubuhi nimeshindwa kucharge na ukizingatia leo sijaenda kazini!!!
Hapa kuna umuhimu wa kuwa na battery mbili..

pole sana ndo hari mpya nguvu mpya na kasi zaidi
 
Kupand kwa kila kitu, watu hawawezi kupika, mwema igp tuambie nch inatawalika? Igp hata ukate kichwa changu, nitasema hata ukiniambia nachochea
 
Vijijin watu wanakamatwa wakikata kuni wanakamatwa, mijini nako kizungumkuti
 
Jamani tusiwalaumu sana..sio wote simu zao zinasupport internet!!!
Uchumi huu wa Kikwete hata wengine zetu zina internet lakini siwezi kutuma maana umeme umekatika tangu jana asubuhi nimeshindwa kucharge na ukizingatia leo sijaenda kazini!!!
Hapa kuna umuhimu wa kuwa na battery mbili..

Hahaa mentor umeua! Simu za tochi?!! Dah mi nilikuwa nashangaa kulikoni kumbe wawakilishi wetu mpaka waende kwenye nearby internet cafe ndio tupate taarifa kamili! Tutakuwa na subira kiongozi!
 
Back
Top Bottom