Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Jamani mbona hamtupi kinachoongelewa huko.kwanyia sa 7 mpaka sasa sa 10.50 aah jamani
 
jamani msitulaumu sana,mambo yanayo ongelewa hapa ni hoja nzito,watu wote wako makini wanasikiliza hakuna anayejitingisha zaidi ya makofi.mimi siwezi kusikiliza na kutoa taarifa siyo fani yangu.naweza kutoa record baadae tu.

tutashukura tukipata audio au video baadae mkuu
 
KWeli. Watu nimaself fish, yaani hata kutuambia MNYIKA kasema nini, Regia, ZITTO, DR SLAA, mabere marando, jamani natamani ningekuwepo sehemu ya tukio niwajuze wenzangu humu jf...
 
jamani msitulaumu sana,mambo yanayo ongelewa hapa ni hoja nzito,watu wote wako makini wanasikiliza hakuna anayejitingisha zaidi ya makofi.mimi siwezi kusikiliza na kutoa taarifa siyo fani yangu.naweza kutoa record baadae tu.

ndivyo na mimi nilivyohisi kua mada zitakua zinawavutia sana yaani hata kujikuna unaona kama vile utapoteza vitu vingi. msisahau wadau kutujuza hata baadae tupate picha kamili sie tulio mbali
 
Dr. Slaa kamaliza kutoa intro now ameanza kuchambua hoja.Kwenye intro kagusia masuala ya bodi ya mikopo,migomo ya vyuo vikuu pia kachambua uhalali wa degree feck ya Jeikei ya UDOM.Kumbe ni kamlolongo kamatukio mpaka kupata ishu kama hiyo,katoa mfano alivyoshiriki mchakato wa kumpatia JK original degree kama hiyo huko Bologna,kumbe UDOM haina hata uwezo wa kufanya hivyo,inashangaza!Tutaendelea kujuzana.
 
Gurudumu, hujatutendea haki. Hata kumega angalau kidogo nini kinaendelea ndugu? Nimempigia mtu simu nasikia 'peopleeeeeessss poweeeeerrrrr' kwa sana. Hii biashara ya kutegemea TV za wachache mbaya sana! Lakini ujumbe utafika tu! Safari hii serikali lazima ikubali!
 
Dr alisema ana recod za vikao vya ikulu kuhusu ajenda ya kupandikiza udini
 
Askofu au sheke akikemea ubaya haitaji kibali cha shetani. Mbona wanataka viongozi wa dini kuhubr siasa
 
Dr. Slaa kamaliza kutoa intro now ameanza kuchambua hoja.Kwenye intro kagusia masuala ya bodi ya mikopo,migomo ya vyuo vikuu pia kachambua uhalali wa degree feck ya Jeikei ya UDOM.Kumbe ni kamlolongo kamatukio mpaka kupata ishu kama hiyo,katoa mfano alivyoshiriki mchakato wa kumpatia JK original degree kama hiyo huko Bologna,kumbe UDOM haina hata uwezo wa kufanya hivyo,inashangaza!Tutaendelea kujuzana.

kweli kazi ipo tupe mambo
 
Back
Top Bottom