Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Dr aliulizwa polisi Dr unativ nyumbani kwako? Hukuckia igp jana, akamjib acha upuuzi wako, sifanyi kazi kwa tv, nafanya kz kwa barua
 
Akatangulia uwanjani nmc, wakambiwa wamekamatwa vijana wao, akatuma watu kwenda kuweka thamana, gafla wakati shehe anaomb kufumgua mkutano, gafl wakatwangwa mabomu, akamnyanganya shehe mike akawaambia polisi kulikoni
 
Wananch wanadai mbunge wao, wote wamepandishwa mori mpaka wanatoa mate, mimi ningèfanya nini
 
Mkenya alipigwa risasi stendi. Cdm itatoa cd ya arusha, hapa pamekaa vizuri
 
Wakati wanaanda mambo ya chama bagamoyo(nafikiri kuanda ile cd) walifuatwa na polisi da! Hi nji h
 
Watu wanatabsm' wakinifunga ndo mwanzo wa kutotawalika kwa nchi. Vijana wameamsha mori
 
Kweli hakuna kulala mpaka kieleweke. Tunajua mlioko huko pressure iko juu, msiache kutujuza kikamilifu baadae
 
Mkutano umeisha. Asanteni kwa kuwa nami. Dr sla anakwenda kufungua tawi la cdm kule sijui wapi.
 
Wakubwa ikiwezekana tupeni visual, nina hamu ya kuona na kusikia zaidi mambo yanavyoendelea huko.
 
@ Zitto , vipi wazo langu la Chedema kuwa na account Youtube na kupeleka kule hotuba zenu na mambo kama haya ili tuwe na rekodi na kuweza kujikumbusha...., hata kama sio video basi audio.., mfano hii ya leo ingependeza ingewekwa kule.
 
Back
Top Bottom