FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
- Thread starter
- #41
labda speed zao za kusikiliza na kuandika zipo slow but tungependa kupata atleast kwa kifupi
au uwt wamekata network
labda speed zao za kusikiliza na kuandika zipo slow but tungependa kupata atleast kwa kifupi
jamani msitulaumu sana,mambo yanayo ongelewa hapa ni hoja nzito,watu wote wako makini wanasikiliza hakuna anayejitingisha zaidi ya makofi.mimi siwezi kusikiliza na kutoa taarifa siyo fani yangu.naweza kutoa record baadae tu.

Dr. Slaa kamaliza kutoa intro now ameanza kuchambua hoja.Kwenye intro kagusia masuala ya bodi ya mikopo,migomo ya vyuo vikuu pia kachambua uhalali wa degree feck ya Jeikei ya UDOM.Kumbe ni kamlolongo kamatukio mpaka kupata ishu kama hiyo,katoa mfano alivyoshiriki mchakato wa kumpatia JK original degree kama hiyo huko Bologna,kumbe UDOM haina hata uwezo wa kufanya hivyo,inashangaza!Tutaendelea kujuzana.
Kumbe kutakuwa na maswali. Hi tamu
Askofu au sheke akikemea ubaya haitaji kibali cha shetani. Mbona wanataka viongozi wa dini kuhubr siasa
Anaongelea dowans